BICHWA KOMWE -
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 9,528
- 24,071
halaaaLa mama halaaaa.....😅😅😅

halaaaLa mama halaaaa.....😅😅😅

Hivi kama ndiye analeta ugali mezani, tatizo lipo wapi? Head of Household inaendana na daily financial contribution katika household husika ujue.Hapo unakuta mama yuko ndani anatumia PC kuandaa project za kampuni 😂