Moto wa volcano
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 2,682
- 6,638
Hapo unakuta mama yuko ndani anatumia PC kuandaa project za kampuni 😂
Hao watu ni shida wakiwa maofisini wanajikuta wamepanda bei sana akirudi home husband anakuona kama kikaragosi . Sasa hakuna mwanaume timamu anayeweza kuvumilia upuuzi huoMwanamke yoyote akiwa na kijinafasi anakuwa na nyodo sana, sijui ni kwanini?
Hata sekretari asiye na lolote lakini ana nyodo balaa.
Sijui ni ugonjwa wa akili ama?
Wangekuwa na nafasi nzito kama ya BICHWA KOMWE nahisi wangetemea watu mate usoni!
Hii haifai kabisa.
Una utani wa ngumi
Aisee wa huyu😁Anakabia Juu mno press ya nguvu..😁Mzee haelewi Azuie au Akabe kwa Kuziba Njia
Kwahiyo hao wanao lia lia hawana pesa tu 😄😄Kwanza mwanaume wa kunyenyekewa anajulikana izi zingine propaganda tu....
Mwanaume wa kunyenyekewa ni yupi?Kwanza mwanaume wa kunyenyekewa anajulikana izi zingine propaganda tu....
Hawajazoea mamlaka. Tuwavumilie tu hawa dada zetu na mama zetu.Mwanamke yoyote akiwa na kijinafasi anakuwa na nyodo sana, sijui ni kwanini?
Hata sekretari asiye na lolote lakini ana nyodo balaa.
Sijui ni ugonjwa wa akili ama?
Wangekuwa na nafasi nzito kama ya BICHWA KOMWE nahisi wangetemea watu mate usoni!
Hii haifai kabisa.
Embu niambie wa kunyenyekewa yukoje ? Na asiyetakiwa kunyenyekewa yukojeKwanza mwanaume wa kunyenyekewa anajulikana izi zingine propaganda tu....