Wanawake wengi wenye vitengo maofisini hawana unyenyekevu kwa waume zao

Hapo unakuta mama yuko ndani anatumia PC kuandaa project za kampuni πŸ˜‚
Hivi kama ndiye analeta ugali mezani, tatizo lipo wapi? Head of Household inaendana na daily financial contribution katika household husika ujue.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…