zwenge ndaba
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 2,037
- 3,598
Haha sana tu unajikuta unapenda ,tafuta na namba siku nyingine unaruka kambamh mtu unaeza kupenda kufanya mazoezi kweli labda kama ni hobi yako aisee,,hapa nahitaji nguvu za ziada kuendelea manake vigimbi havifai,,ila sabbu ni plan ya mwka huu sina budi
JamaniMashallah
Pamoja na mazoezi msosi vipi, make mie kunachoninenepesha ni msosi tuWanafanya mazoezi sana, na hivi wana hela wanapata best trainers
Mi hata chumbani tu yamenishindaila mazoezi yanataka moyo,,mimi nimeanza kukimbia asubuhi bado kidogo nirudie njiani,,,yataka moyo sana
ahsante sana, najua nikipunguza msosi nitapungua piaHongera Evelyn Salt.
Umesema kwa sasa Mazoezi huwezi, njaa inakuchanganya.
Itabidi uvumilie tu hadi miezi 6, uanze kupunguza misosi, na uanze Mazoezi, nikimaanisha hutohitaji kutengeneza maziwa mengi.
Tunatofautiana genes, wengine ni rahisi ku shift the baby weight wengine ndio mpaka tujiandikishe gym.
Good luck New Mum.
Msosi ndio kichocheo cha kwanza cha unene, ili kupungua inabidi ufanye mazoezi na ule 'vizuri' yaani healthy food.Pamoja na mazoezi msosi vipi, make mie kunachoninenepesha ni msosi tu
Ahsante, kumbe huwa hawanyonyeshiWengi wao hawanyonyeshi so probably hawali vyakula vya uzazi,,, me naona wewee piga msosi tuu na jitahidi unyonyeshe 6 month mwili usikupe shida utapungua wenyewe bila shida maana itafika Mahala mtoto ananyonya haswa then kula kawaida tuu mwili utaisha tuu
Njaa ni kawaida. Kula kiasi kidogo cha chakula kila baada ya mda mfupi. Usile chakula kingi at oncenjaa napata njaa kila dakika, na nikihisi njaa sitaki kuchelewa hata dakika, mwanzo nilijibana mwili ukawa poa tatizo Maziwa nayo ya mawazo nmeamua kula nimefumuka sipendi unene, nifanyeje nileje.
Wapenda chura had huku mpo!!!Mkijifungua sisi tunaangaliaga chura tu ,kaongezeka?
Usipate mawazo utapungua mtoto akianza kula ila hata kwa sass ukiweza kupunguza portion ya msosi itakuwa poa njaa huwa inasumbua lakini baada ya muda tumbo litazoea. Msosi wako weka mboga nyingi kuliko starch, na between the meal kula matunda badala ya vitu vizito.Zoezi naona hutaki kabisa ila ukifanya walking kidogo basi si mbaya, ukipunguza msosi kunyonyesha tu yenyewe inasaidia sana kuburn fat. Hongera kwa baraka ya mtotoPamoja na mazoezi msosi vipi, make mie kunachoninenepesha ni msosi tu
Yes utapata with lots of fluids kama juice, uji wa lishe wa maziwa na blue band, chai ya viungo, supu ya kuku, nyama, samaki etcNikila mbogamboga na matunda tu nitapata maziwa?
Hahaha njoo pm kama unayeWapenda chura had huku mpo!!!
mazoezi nayataka ila yenyewe hayanitaki, ahsante nitapunguza kidogo, kwakweli nakula utadhani kuliUsipate mawazo utapungua mtoto akianza kula ila hata kwa sass ukiweza kupunguza portion ya msosi itakuwa poa njaa huwa inasumbua lakini baada ya muda tumbo litazoea. Msosi wako weka mboga nyingi kuliko starch, na between the meal kula matunda badala ya vitu vizito.Zoezi naona hutaki kabisa ila ukifanya walking kidogo basi si mbaya, ukipunguza msosi kunyonyesha tu yenyewe inasaidia sana kuburn fat. Hongera kwa baraka ya mtoto
Njaa haiishi bila plates mbili za wali 😀Njaa ni kawaida. Kula kiasi kidogo cha chakula kila baada ya mda mfupi. Usile chakula kingi at once