love b
JF-Expert Member
- Aug 27, 2017
- 2,155
- 3,162
Kawaida mamy. Ni ngumu ila jitahidi tu. Mi nilifanikiwa kutokana na support ya mtu wangu wa karibu. Ikafikia hatua nikawa napakuliwa chakula "kiduchu" ili kuniepusha nisile sana. Nikaambiwa naweza kula hata baada ya nusu saa japo sikuweza tena kula ndani ya huo mda mfupi. Baadae nikazoea. Nikila kidogo natosheka. Mwili ukawa vizuri.Njaa haiishi bila plates mbili za wali 😀
Mungu anitie nguvu kwakweli