Aurora
JF-Expert Member
- May 25, 2014
- 7,308
- 5,272
tehe tehe teheUgali, wali, thermos ya uji 😀
Mazoezi nitadanganya labda nikianza kwenda job ntakua natembea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tehe tehe teheUgali, wali, thermos ya uji 😀
Mazoezi nitadanganya labda nikianza kwenda job ntakua natembea
Mazoezi ya tendo la ndoa?? Hebu fafanua mkuu
Ahsante, ulijua vibinti vya form two cHongera kwa kuwa na mtoto.... Kna watu humu nilijua hawana hata watoto daaaah
Kwa wewe hapana ila kwa wengineAhsante, ulijua vibinti vya form two c
duh hio menyu ya siku mbona ni mtaji wangu kabisaShost aliniambia yeye alikuwa anakula nyama mboga na matunda nafaka ni toast tu, asubuhi toast yai la kuchemsha na matunda kubao
Saa nne oaks la kuku wa kuchoma na mboga
Mchana supu toast kipande kimoja na matunda
Saa kumi toast na parachichi
Jioni supu tena
Wali, ugali hutumii?Mi nakulaga
Saa 12 Uji
Saa 4 Juice/Matunda
Saa 7 ndizi vilizochemshwa na mbogamboga
Saa 10 Uji
Saa2 ndizi na mbogamboga
Na juhudi buanaMambo mengine ni majaaliwa tu ndugu yangu
Na juhudi buana
Na juhudi buana
kitaalamu mafuta hayahifadhiwi ila sukari ndo inabadilishwa kwenda kuwa mafuta ili ihifadhiwe katika mwili, ila wanga inachangia kwa sehemu kubwakula tu vizuri wkati wa kunyonyesha mtoto akishaanza kuchanganya vyakula anza kula vyakula visivyo na wanga na mafuta kwa wingi,,,
we umefanikiwa kujua chanzo cha unene ndo maaana unashinda vita ya unenekwanini ule "ile mbaya" kula kiasi bwana,,mimi nikiwa mzazi sinenepi japo maza mkwe anajituma lakini nazani heka heka za mtoto zinanifanya nisnenepe kiivo...ila nikitoka ndo naanza kunenepa nikishaona ivo naanza kubadili mfumo wa kula
Kuna wengine hawapungui ng'oHahaaa poleee, we kama huwezi mazoezi nenda kamtukane HR akuandikie don't pay ya miezi minne...usipopungua nitafute nikupe mbinu nyingineee (jokin)
yawezekana aina ya vyakula wala ndo vyakutia njaa mara kwa mara, kula kiasi kikubwa vyakula vya proteinnjaa napata njaa kila dakika, na nikihisi njaa sitaki kuchelewa hata dakika, mwanzo nilijibana mwili ukawa poa tatizo Maziwa nayo ya mawazo nmeamua kula nimefumuka sipendi unene, nifanyeje nileje.
Una muda gani baada ya kujifungua?Mimi nimejifungua wiki2 tu mwili umerudi kama ulivyokua mwanzo hakuna kunenepa wala kuninginia tumbo na hakuna diet wala mazoezi mpaka sasa na nishashuhudia wengine pia....ni majaaliwa tu mwenzangu