Wanawake wengine wanawezaje kumaintain miili yao baada ya kujifungua?

Wanawake wengine wanawezaje kumaintain miili yao baada ya kujifungua?

Sometimes ni homoni za mtu husika mi Sina diet wala mazoezi yao hayo lkn nikibeba ujauzito mpk kujifungua Niko na mwili mzuri tu na ninakunywaga uji sana na supu ya kutosha kwa siku napeleka chupa tatu za Lita tatu za uji na wala sikuwa nafumuka km bouncer
kitaalamu wanasema kilamtu ana uimara na udhaifu so si kilamtu anaweza kuhimili vyakula ulavyo wewe, mngine akila tuu anakuwa tembo
 
Back
Top Bottom