Wanawake wenye hizi tabia wana matatizo gani?

Kumbe kuna kukataliwa ili uje mara nyingine..?🤣🤣🤣 Kwahiyo kwa kifupi unapenda usumbufu yaani ile njoo kesho njoo kesho na wakati kumbe unataka
Sitaki nataka wana tabu sana! Napenda nimwambie demu ukweli na anielewe haraka.
 
Possibilities ziko 2:

1.Alikua na mtu anayempenda ila imetokea wametibuana au demu kafanya umalaya kafumaniwa huko kaachwa! Mara nyingi mademu wanakuwaga na wanaume wa backup, hawa wapo tu huwa wanachat chat nao kupoteza mda na unakuta washatongozwaga! Mtoa mada huenda ni mfano wa hao jamaa wa kwenye To-Do list ya manz!

2.Alikuwa anaona wewe sio wa hadhi yake ila ukimchukua best yake ghafla lazma akuwaze yani!😂 Sababu huenda utamchukua rafiki yake kisu mno kuliko yeye!
 
Hela sikupi na rafiki yako namchukua utabaki unatoa toa macho tu!

Kwa historia kwenye majimbo yote niliopita bila kupingwa niliweza kuhudumu kwa mihula miwili!
Tabia mbaya[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Sasa Mimi nitajuaje una nitega? Nitajuaje unasubiri nirudi
 
Sasa mbona shoga yako asisubiri nimrudie Mara ya pili ye kakubali chap.
 
Ndio pale jamaa anageuka shemeji, halafu mkikutana kwenye korido mna flirt unamwambia ulikuwa mume wangu ila uliwahi, ulikuwa na haraka .
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] namtingishia tako nasepa[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]
 
Namba 1: sababu inaweza kuwa alikuwa na jamaa yake na sasa mahusiano yameisha kwahiyo anatafuta pa kufarijika.
Namba 2: Ni wivu tu.

Ila pia sometimes wanawake hawaeleweki!
Good analysis. Upo sahisi sana mkuu. Cha kuongezea always wanawake hawaeleweki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…