Kweli kabisa mkuu, hapo ulipo agiza kinywaji nakuja kulipia bili. Kuna kipindi dada mmoja alikuwa rafiki yangu sana, ameolewa. Sasa kuna kipindi akamfumania mume wake amezaa nje ya ndoa. Paliwaka moto akapanic sana mara.
Ndoa yao iliyumba sana, hadi akawa ananishirikisha kila kitu anachofanya au kuongea na mumewe, pamoja na vikao vya ndugu vya usuluhishi. Ukaribu wangu mimi na yeye uifika hatua akawa ananihitaji nimuliwaze na kumpa ushauri how to go around that case. Ila mimi sikutaka kushauri.
Nilimwambia muyamalize wenyewe anipe hitimisho. Kuna wakati alikuwa tayari kwa loote na alinisihi sana niwe mpenzi wake ila tufanye siri. Katika kuchat naye alikuwa ananitumia hadi picha zake za uchi angle zote. Nakumbuka kipindi hicho mume wake alikuwa mkoa mwingine kikazi. Sijui kwanini, ila roho yangu iligoma kabisa kusex na yule dada nikawa napiga kalenda tuu, ila tulikuwa tunafanya sex chat whatsaap usiku hadi anajikojoza.
Baada ya muda kupita waliyamaliza mambo yao na mume wake nikaona penzi lao limeshamiri upya. Akawa anampost sana kwenye status. Aisee siku hizi hata nikigusia hizo story anaweza kunitukana kabisa. sema kuna ibilisi ananisumbua hadi leo sijazifuta zile picha zake na hivi karibuni nilimtumia nikamwambia aje azichukue. alinishushia mvua ya matusi sijapata ona.