Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
Ukienda kwenye migahawa na Ma Bar wamejaa wao, 99% ni single mazas waliotumika na kuachwa.Wanawake wenye makebo hidhani dunia inazunguka kwao tu... Ila hawajui makebo ni kama bidhaa ya kutumika na kuna muda inaishia..
unataka kusema kuwa wanawake wenye makalio makubwa hawana akili...?Ni kwa sababu watu wenye mafanikio huchaguanMwanamke kwa kigezo cha kujenga future, Mwanamke mwenye Tabia ya kuleta familia endelevu, sasa watu hawa wenye Uwezo wa akili na fedha hizo Tabia hawazioni kwa wanawake wenye makalio makubwa.
Ndio Maana hata Mimi nimebaki kuwa mtu wa kawaida Tu na hela ya mboga, wenzangu Wana ma PhD wamefika mbali sana
Hata humu ukiona mwanamke mropokaji na anapenda ubuyu kuwa tuu... Makebo yametumikaUkienda kwenye migahawa na Ma Bar wamejaa wao, 99% ni single mazas waliotumia na kuachwa.
Hii ni balaa
HahahaHata humu ukiona mwanamke mropokaji na anapenda ubuyu kuwa tuu... Makebo yametumi
Nani kasema, wapo wachache Sana wenye nazo, lakini uhalisia uko kwenye huu Uzi na kwenye jamii.Kwahiyo
unataka kusema kuwa wanawake wenye makalio makubwa hawana akili...?
Hoja yako ni dhaifu, watu wenye hela Wana Tabia ya kuchukua TotoziWanaume wenye "mafanikio makubwa sana" huwa na umri mkubwa vile vile. Wanakuwa tayari wapo kwenye ndoa muda mrefu na umri wa wake zao huwa umeenda pia.
Lile umbile la namba nane linapotea kwenye utu uzima. Inawezekana makebo yakawepo ila kiriba tumbo na uzito wa kiunoni vinaleta muonekano wa tofauti.
Makalio makubwa ni mafanikio. Watu wenye mafanikio kiuchumi hawataki kuwa na mafanikio mara 2. Kwa hiyo hayo mafanikio (makalio makubwa) wanawaachia wengine nao wafaidi.Sikumbuki kuona mwanaume yeyote aliyefanikiwa sana iwe kwenye siasa, biashara, michezo, Sanaa n.k ambaye ameoa mwanamke mwenye makalio makubwa ila ajabu ni kwamba wanawake wenye makalio makubwa ndio gumzo zaidi katika mazungumzo ya wanaume!
Kuna jambo halipo sawa kuhusu hii hali.
Kwa nini wanawake wenye makalio makubwa hawapendelewi na wanaume wenye mafanikio makubwa ?
Wakiwa bar, ila mke unazeeka naye. Labda kama umechelewa kuoa.Hoja yako ni dhaifu, watu wenye hela Wana Tabia ya kuchukua Totozi
Kama siku zote nisemavyo hapa kuwa wanawake wenye makalio makubwa huwa wanapendwa na wanaume wenye IQ NDOGO hakuna mwanaume mwenye akili kubwa anaye weza kupenda mwanamke mwenye makalio makubwa hata siku moja.Sikumbuki kuona mwanaume yeyote aliyefanikiwa sana iwe kwenye siasa, biashara, michezo, Sanaa n.k ambaye ameoa mwanamke mwenye makalio makubwa ila ajabu ni kwamba wanawake wenye makalio makubwa ndio gumzo zaidi katika mazungumzo ya wanaume!
Kuna jambo halipo sawa kuhusu hii hali.
Kwa nini wanawake wenye makalio makubwa hawapendelewi na wanaume wenye mafanikio makubwa ?
Sikumbuki kuona mwanaume yeyote aliyefanikiwa sana iwe kwenye siasa, biashara, michezo, Sanaa n.k ambaye ameoa mwanamke mwenye makalio makubwa ila ajabu ni kwamba wanawake wenye makalio makubwa ndio gumzo zaidi katika mazungumzo ya wanaume!
Kuna jambo halipo sawa kuhusu hii hali.
Kwa nini wanawake wenye makalio makubwa hawapendelewi na wanaume wenye mafanikio makubwa ?
Acha basi🥶🥶🥶Hivi, kwenye hansad haijaandikwa kwamba "mwanamke mwenye makalio makubwa anatakiwa ajiamini sana kuliko mwenye elimu kiwango cha degree"?
Sasa si akili zinakuwa kule kwenye makebo?
Angalia hata mitandaoni wenye drama ji akina nani? Na wana nini zaidi ya hayo makebo?
Tutabaki nao sisi makapuku tunapenda makebo
Makebo yapo au hamna
Wanawake wenye makebo hidhani dunia inazunguka kwao tu... Ila hawajui makebo ni kama bidhaa ya kutumika na kuna muda inaishia..
Eti Makebo hawa watu umewafanya nini! Mbona wamekutaja sana kwenye huu uzi!! Au ni kwamba mimi ni mzee sana, nisiye elewa kile kinachoendelea kati yenu?Kwenye kujidungabmasindanobnakataa, Mwanamke wa kiafrika Yuko natural Sana tofauti na Wazungu ambao ilinawe na Makebo lazima achome sindano au plastic surgery
Sindano za uzazi wa mpango zinawanenepesha baadi yao.Kwenye kujidungabmasindanobnakataa, Mwanamke wa kiafrika Yuko natural Sana tofauti na Wazungu ambao ilinawe na Makebo lazima achome sindano au plastic surgery
Makalio makubwa hayapotei mkuu. Unaweza kuona mifano kutoka kwa watawala, wafanyabiashara na wasanii. Pia kuna umbo namba nane makalio M, L, XL, XXL, XXXL. Watu waliofanikiwa mara nyingi unakuta wanachezea kwenye Small and Medium size.Wanaume wenye "mafanikio makubwa sana" huwa na umri mkubwa vile vile. Wanakuwa tayari wapo kwenye ndoa muda mrefu na umri wa wake zao huwa umeenda pia.
Lile umbile la namba nane linapotea kwenye utu uzima. Inawezekana makebo yakawepo ila kiriba tumbo na uzito wa kiunoni vinaleta muonekano wa tofauti.