Utajua mwenyewe ila cha moto ntakupatia!Siwezi 😂😂😂😂😂 kama unijui mm ndo mubaba wa Gongo la mboto sasa endelea
Kutumia jina la member mwingine kwa lengo la kudhalilisha/kutweza ni kinyume na Mwongozo Mkuu.Tutabaki nao sisi makapuku tunapenda makalio
Hao ni chakula tu cha wahuni, mtu serious hawezi oaSikumbuki kuona mwanaume yeyote aliyefanikiwa sana iwe kwenye siasa, biashara, michezo, Sanaa n.k ambaye ameoa mwanamke mwenye makalio makubwa ila ajabu ni kwamba wanawake wenye makalio makubwa ndio gumzo zaidi katika mazungumzo ya wanaume!
Kuna jambo halipo sawa kuhusu hii hali.
Kwa nini wanawake wenye makalio makubwa hawapendelewi na wanaume wenye mafanikio makubwa ?
""Maneno yalisemwa mengi sana, kukupapata wewe sijutii"""Utajua mwenyewe ila cha moto ntakupatia!
Kutumia jina la member mwingine kwa lengo la kudhalilisha/kutweza ni kinyume na Mwongozo Mkuu.Sasa si akili zinakuwa kule kwenye makebo?
Angalia hata mitandaoni wenye drama ji akina nani? Na wana nini zaidi ya hayo makebo?
Hahahaha, umeanza kuvuta bangi😅😅Mimi nina kalio moja kubwa jingine dogo🤣
Kutumia jina la member mwingine kwa lengo la kudhalilisha/kutweza ni kinyume na Mwongozo Mkuu.Makalio yapo au hamna
Kutumia jina la member mwingine kwa lengo la kudhalilisha/kutweza ni kinyume na Mwongozo Mkuu.Wanawake wenye makalio hidhani dunia inazunguka kwao tu... Ila hawajui makalio ni kama bidhaa ya kutumika na kuna muda inaishia..
Mm nitoe kwenye hiyo list ya matajiri wanaokusumbua mno 😎Na yanavutia kinyama, matajiri wanatusumbua mno😎
Sina mahala nimetag mtu hapoKutumia jina la member mwingine kwa lengo la kudhalilisha/kutweza ni kinyume na Mwongozo Mkuu.
Tutakata ziwa lako moja 😎Kwahiyo tukisikia njaa tunalikatakata tunapika mboga? Tako lako!
Pole kwa muhusika sikujua kama ni jina hilo!Kutumia jina la member mwingine kwa lengo la kudhalilisha/kutweza ni kinyume na Mwongozo Mkuu.
Nimeacha babu😁Hahahaha, umeanza kuvuta bangi😅😅
Wewe ni chokoraa iko wazi sio mpaka tukutangaze 🤣Mm nitoe kwenye hiyo list ya matajiri wanaokusumbua mno 😎
Mtatajana tu😎Sina mahala nimetag mtu hapo
Njoeni🤓Tutakata ziwa lako moja 😎