Bmw m5
Member
- Oct 20, 2024
- 73
- 95
Ndugu zangu salaaaam..
Nimekua natamani sana kuoa mwanamke mzuri kuanzia umbo kwa maana ya muonekano wa nje.
Ila mara kadhaa kumekua na baadhi ya watu wakisema kuoa pisi kali ni sawa na kulima shamba la miwa karibu na shule tena ya msingi🤣🤔.
Hivyo kupelekea watu wenye nia ama ndoto ya kumiliki wanawake wazuri kubadili mtazamo juu yao.
Zipo sifa tofauti ambazo zimekua kikwazo cha pisi kali hizi kuolewa.
Kwa upande wangu binafsi nimekuwa na hii ndoto ya kuja kuoa binti mzuri kuanzia umbo, rangi na tabia, ijapokua nimekua nasikia sifa tofauti juu ya wanawake hawa wazuri kuwa hawadumu kwenye ndoa sababu ya uzuri wao.
Nawashauri vijana wenzangu tusiogope kuwaoa hawa warembo, muoe muweke ndani uishi nae.
naomba kuwasilisha, kwa waliowahi kuoa pisi kali, tushare uzoefu ili vijana tujifunze zaidi