Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
komwe limefika wapi AikooohBarikiwa 🤍
Dah brother we ni pimbi😄🤣🤣sema nini haiombwi hivo mkuu
We mwana arsenal au city 😄🤣Daah!kwa hiyo kwa sasa naongoza ligi 😂😂
Enwei...asante sana kwa kunikubali mkuu Mfilisiti ,japo ni tusi kubwa sana kuniweka nafasi ya hao wapuuzi Liver...na ni suala la muda tu watatoka kwenye hiyo nafasi 🤞
Ohh uta sababisha not open for further replies 😄🤣Hii michezo mnayofungia nayo mwaka ni hatariii… 🌹✌️
Nina uhakika na Donatila mama mtumishi mvaa magauni marefu,, tuliobaki sijui jinsia 🤭😂
Dah Ume Tisha mwalimu😄🤣🤣Mimi ni Arsenal, ungeniweka kwenye nafasi yangu na points zangu ingependeza 🤣🤣
Asante Mkuu
🥂
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndio maana sikuhizi tunaopewa ni wachache sana, wengi wetu wanashinda chini ya kwapa za hawa viumbe kuwaomba.