Wanawake wenye pesa ndio wenye mapenzi ya kweli

Ni mapema sana kuanza kujadili masuala ya mapenzi.

Jamii za watu wavivu wavivu ndizo zimetawaliwa na mijadala ya mapenzi all the f\/cking time.
Mkuu hili ni jukwaa la mapenzi , kuna jukwaa la uchumi kilimo na biashara, huku ni mapenzi na mahusiano tu bila kujalisha wewe ni mvivu au mchapa kazi.
 
Hata kama , ndio uanze huanzishe mijadala ya mapenzi saa 2 asubuhi ?
 
Back
Top Bottom