Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Usicheke ni majonziii
AsanteWala usiwaze mamalai, huwezi kukosa mume. Watu wana tastes tofauti tofauti. Sio kila mwanaume anavutiwa na sura.. Wanaovutiwa na sura na chura mara nyingi ni tamaa tu na huwa hawafiki mbali. Upendo wa kweli ndio deal hata ukiwa na jicho moja.
Tupo wengi mpendwa, sura za kinyakyusa si unazijua, baba hajulikani binti hajulikaniNa afadhali mmekuja.. Nkajua nko peke angu[emoji23][emoji23]
MfyuuuuuuTupo wengi mpendwa, sura za kinyakyusa si unazijua, baba hajulikani mtoto hajulikani
Nini sasa?Mfyuuuuuu
Nini sasa?
Si vindevu kwa mbali kama wale wanawake wa mbeya
MarahabaNilikuwa nakusalimia
Hahha kama uji wa mtama
Nina sura mbaya lkn naipendaKaribuni tuliwazane.. Tujadili changamoto na faida tunazopitia katika maisha ya kawaida, mahusiano nk..
Visa visa na vituko tunavyokumbana navyo etc
Nawasilisha
Aggy sura ngumu.
Ukweli ndo huo shunieSema kweli jamani
Unazani natania aggy?Weee unasema ukweli?
Hahahahaa kwan ushakuwa mkubwaHapa ndio sehemu nitapata mke. Ngoja ni subscribe mapema kabisa.
Wanaume hatupendi stress halafu wanakuwaga na roho nzuri na kujituma pia wansjituma sanaSisi wenye sura ngumu ndio tunaoongoza kuolewa[emoji38]sijui kwanini
Sasa wengine sura ngumu na tabia ngumu pia heheheSasa hapa ndio tunapeana moyo na "every woman is beautifull" na "uzuri upo machoni pa mtu" au?[emoji134][emoji134][emoji134]
Hamnaga mambo mengi nyieSisi wenye sura ngumu ndio tunaoongoza kuolewa[emoji38]sijui kwanini
Ila kweli aiseee vile najiona sina mvuto wa sura na nimepata wa kuivumilia lazima nijitume[emoji38]Wanaume hatupendi stress halafu wanakuwaga na roho nzuri na kujituma pia wansjituma sana
Sasa wengine sura ngumu na tabia ngumu pia hehehe