Desire Dizaya
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,476
- 11,659
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tupo wengi mpendwa, sura za kinyakyusa si unazijua, baba hajulikani mtoto hajulikani
Nina sura mbaya lkn naipenda
Sisi wenye sura ngumu ndio tunaoongoza kuolewa[emoji38]sijui kwanini
Unazani natania aggy?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji137][emoji136][emoji136]
uzoefu wangu unaniambia wenye sura ngumu wengi wao wana roho nzuri
Sura ngumu uipatie wap bishosti jina lako tu linaonesha ni mtoto mzuri flan hviHahhaha kwa nn isiwezekane Ngabu niko na sura ngumu sema mwenyewe najikubali na sura ya baba angu
Ya wasiraSura nzito kama ya Mpoto au
NikweliHakuna mbaya duniani
Wote tu wazuri..
Ila binadamu ndo wameleta hayo
Naperuzi kwa umakini nikiamini sitatoka kapa humu kabisa
Mwanamke ukiwa na sura ya babako,bas atleast ujitahidi kwenye kunyuka pamba,kufanya mazoezi,kunukia vizuri,na kutabasamu vyote hivyo vinasaidia,unaongeza maksi,sio unakuwa na minyama uzembe,kuvaa hujui,pafyumu yako ya buku 5 inanuka kama ubani maiti,confidence huna,tabia nazo mbovu unakuwa hubebeki sasa.
Nibanduke vp nahisi kwanza nishaanza kuipenda hyo sura yako ngumu unayoisemaKazana tu..
Usibanduke
Kuna watu wana sura nzito kama uji uliolala
Acha tuNikweli
Lkn wabaya tunapata tabu sana
Nibanduke vp nahisi kwanza nishaanza kuipenda hyo sura yako ngumu unayoisema
NAHUJA ni mwanamke mkuu?Sijui NAHUJA na wewe una sura ngumu... duh!
NAHUJA ni mwanamke mkuu?Sijui NAHUJA na wewe una sura ngumu... duh!