Mnazareth
JF-Expert Member
- Dec 4, 2017
- 3,474
- 7,404
siamini kwenye sura nzuri wala mbaya ila uanamkeHaha asante
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
siamini kwenye sura nzuri wala mbaya ila uanamkeHaha asante
Hehehe there is someone for everyoneSasa hapa ndio tunapeana moyo na "every woman is beautifull" na "uzuri upo machoni pa mtu" au?[emoji134][emoji134][emoji134]
Acha tu ndugu yanguHahaha uwii
Eti baba hajulikani mtoto hajulikani
Teh teh tehMuone kwanza
Watakuwa wanyakyusa haoNawapendaga sana mademu wenye sura ngumu maana hua wamejaaliwa mizigo ya maana . Kwa kweli mi hua siangalii sura kikubwa chura iwepo natafuna mzima mzima
Kwani nyie mlishawahi kuridhika?Halafu huwa hawana shobo, maringo, na kujidai kama hawa warembo na wazuri kupindukia wanaotzamwa na wengi... Ukimpata sura ya kauzu anakukubal na kutulia na ww, cha msng usmchanganye na hao wengn
Hata me Nina sura ngumuKaribuni tuliwazane.. Tujadili changamoto na faida tunazopitia katika maisha ya kawaida, mahusiano nk..
Visa visa na vituko tunavyokumbana navyo etc
Nawasilisha
Aggy sura ngumu.
kuna zebra crossing ila angalia kushoto kulia vuka[emoji23][emoji23] wanavukaje?
Haha...ngoja nijaribukuna zebra crossing ila angalia kushoto kulia vuka
Nimefika
Wanaume mahandsome acheni kutubagua nasisi pia tuna stahili kupendwa...Mara moja moja mtubebisha tunapowafanyia pozi
Huo mshepu ungekua Wangu ningeringaa mamy...Mimi kama wewe nimekosa vyoteAhhhaaaa.. Shukuru kwa huo mshepuu
Mi nimeambiwa kama sura ngumu na shepu sina niende kwa akina mwingira nkaombewee mume
Hahahaaa,huu Uzi umenichekesha,,,wenye sura za baba zetu
Hata me Nina sura ngumu
Kwa nini etiWengine mnadanganya humu..
Haaa kweii???Huo mshepu ungekua Wangu ningeringaa mamy...Mimi kama wewe nimekosa vyote