Wanawake wenye sura nzito/ngumu tukutane hapa

Wanawake wenye sura nzito/ngumu tukutane hapa

Kweli kabisa.. Usisahau na make up... Kutupia urembo urembo angalau uonekane
Mwanamke ukiwa na sura ya babako,bas atleast ujitahidi kwenye kunyuka pamba,kufanya mazoezi,kunukia vizuri,na kutabasamu vyote hivyo vinasaidia,unaongeza maksi,sio unakuwa na minyama uzembe,kuvaa hujui,pafyumu yako ya buku 5 inanuka kama ubani maiti,confidence huna,tabia nazo mbovu unakuwa hubebeki sasa.
 
Back
Top Bottom