Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
MmmhHahaaa bado na wewe hapo
Nikimbie tu
Nikikushikaa
Kukukimbia wapi tena? Unakata watu siku hz?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MmmhHahaaa bado na wewe hapo
Nikimbie tu
Nikikushikaa
Wenyewe wanasemaga eti woyoooooooo
Hata sijuagi maana yake ila najua ni kiitikio cha furaha.....
Nasubiria nimuone nunga langu atokezi sijui anadhania yu mrembo..[emoji2]
Hahahaha .
Kwa matatizo niliyonayo
Vipi hauna kamzuzu kidogo?
Ww nenda usistaHaha.. Je mimi sura ngumu na tako sina nafanyaje?
Yatajee
Si vindevu kwa mbali kama wale wanawake wa mbeyaKamzuzu ndo nini
Hahaa sina hivoSi vindevu kwa mbali kama wale wanawake wa mbeya
Akuu sitaki kuachwa mie..!Haahaaa jaribu kumtag[emoji23][emoji23][emoji23]
Basi we sio mgumu kiivyoHahaa sina hivo
Haha.. Je mimi sura ngumu na tako sina nafanyaje?
piga skwati,hata kama bapa litajishepu vizuriAsa sura ngumu halafu bapaaa
Unasemaje?
Duhh..Basi we sio mgumu kiivyo
piga skwati,hata kama bapa litajishepu vizuri