Wanawake wenye sura nzito/ngumu tukutane hapa

Wanawake wenye sura nzito/ngumu tukutane hapa

Hahaha chizi wewe lione
Hahaaa em tulia kwanza wewee nimpigie simu mtoto Siyawezi wa Kawe aje nimpige shoo halafu picha zitafuata baadae uone sura na tukunyema. Huu uzi wako bila kuuchombeza na picha ni sawa na chai bila vitafunwa.
 
Back
Top Bottom