Darmian
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 17,289
- 46,624
Biashara ni supply and demandNnachowapendea wanawake sura ngumu ni utulivu wao tu. Hawana makuu kwa sababu soko lao lipo chini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Biashara ni supply and demandNnachowapendea wanawake sura ngumu ni utulivu wao tu. Hawana makuu kwa sababu soko lao lipo chini
Na weww mdau wa sura ngumu[emoji23]?Ewaaaa ,swadakta
Hahhaha kwa nn isiwezekane Ngabu niko na sura ngumu sema mwenyewe najikubali na sura ya baba angu
Niniiii[emoji1]Mmmh
Kujikubali muhimu ujueHahahaha
Kwa ile picha unapata heineken ya baridii iliyoiweka humu nakataa katu katuSura za baba zetu
Niko hapa
Mimi sijuiKwani kuna uongo wowote hapo dada?
Hahahha sasa ile picha si chini tu juu sura ya babaKwa ile picha unapata heineken ya baridii iliyoiweka humu nakataa katu katu
una sura ngumu ila chura ipo,Mungu siyo Athumani ati!
Hahahaha, ndio maana akeNa weww mdau wa sura ngumu[emoji23]?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]una sura ngumu ila chura ipo,Mungu siyo Athumani ati!
Ungeweka na kapicha ingenogaKaribuni tuliwazane.. Tujadili changamoto na faida tunazopitia katika maisha ya kawaida, mahusiano nk..
Visa visa na vituko tunavyokumbana navyo etc
Nawasilisha
Aggy sura ngumu.
Huuu uzi ni wa kwenu ulikuwa hautuhusu. Ila tumekuja kucheki wife material.
Well thenHuuu uzi ni wa kwenu ulikuwa hautuhusu. Ila tumekuja kucheki wife material.
Sura za baba zetu
Niko hapa
We wasema ujue avatar za watu hizi zinatubeba mnoooWewe hapana bhana [emoji56][emoji23][emoji23]
Kujikubali muhimu ujue
Aahh ngabu
Nani huyo?
Ooops basi nlijisahau[emoji23][emoji23]
Si unalijua sura langu lilivo gumu lakini??
Niniiii[emoji1]