Kwani nyie mlishawahi kuridhika?
Yeah kwani naonekana ME??Kumbe wewe KE
Kweli love..Nina flat moja matata mixer minyama uzembe yani kama yule michellin
Yeah kwani naonekana ME??
HahahahahahaMkutane ili mtuogopeshe na sura zenu izo[emoji848]
Nitakua mshenga wako najitolea[emoji23] kwahiyo nitume maombi au?
Kanitosa eti kaniambia umri wangu mdogo ππNitakua mshenga wako najitolea
Hmm! Aisee pole kamandaKanitosa eti kaniambia umri wangu mdogo [emoji23][emoji23]
sasa kwanini uandike kitu chenye unajua kitasababisha upigwe ban?
Nitamkamata kule kwenye maakuli πHmm! Aisee pole kamanda
huyo anapenda ukubwa tu,Nitamkamata kule kwenye maakuli [emoji23]
Aisee ha ha haaa nakushtaki wakutoeHeaven Sent tunaitwa huku mama, au wewe sura yako nyepesi?
[emoji3][emoji3]Kuna mtu alikufungulia Uzi anapenda hiyo shape kwenye avatar yako
Una uhakika mkuu?Hahahaha
Na hata wadada waliochangia huu Uzi wengi hawako km Uzi unavyosema
Natamani nikupe appointment japo tufahamiane