masara
JF-Expert Member
- Jul 20, 2016
- 1,738
- 2,282
Kumbe wewe KE
Kwani nyie mlishawahi kuridhika?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani nyie mlishawahi kuridhika?
Yeah kwani naonekana ME??Kumbe wewe KE
Kweli love..Nina flat moja matata mixer minyama uzembe yani kama yule michellin
Yeah kwani naonekana ME??
HahahahahahaMkutane ili mtuogopeshe na sura zenu izo[emoji848]
Nitakua mshenga wako najitolea[emoji23] kwahiyo nitume maombi au?
Kanitosa eti kaniambia umri wangu mdogo 😂😂Nitakua mshenga wako najitolea
Hmm! Aisee pole kamandaKanitosa eti kaniambia umri wangu mdogo [emoji23][emoji23]
sasa kwanini uandike kitu chenye unajua kitasababisha upigwe ban?
Nitamkamata kule kwenye maakuli 😂Hmm! Aisee pole kamanda
huyo anapenda ukubwa tu,Nitamkamata kule kwenye maakuli [emoji23]
Aisee ha ha haaa nakushtaki wakutoeHeaven Sent tunaitwa huku mama, au wewe sura yako nyepesi?
[emoji3][emoji3]Kuna mtu alikufungulia Uzi anapenda hiyo shape kwenye avatar yako
Una uhakika mkuu?Hahahaha
Na hata wadada waliochangia huu Uzi wengi hawako km Uzi unavyosema
Natamani nikupe appointment japo tufahamiane