Mtoto wa Baba
JF-Expert Member
- Sep 1, 2018
- 3,123
- 4,023
KumbeHahahahaha! Hawana ujanja na mara nyingi ni wahongaji wazuri sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KumbeHahahahaha! Hawana ujanja na mara nyingi ni wahongaji wazuri sana.
Mkwe wangu we ni mashaallah, rangi ya mtume sura nyororo bila shaka!Sasa hapa ndio tunapeana moyo na "every woman is beautifull" na "uzuri upo machoni pa mtu" au?[emoji134][emoji134][emoji134]
Huna budi maana ukiwa na kazi huna utaisoma namba!Ila kweli aiseee vile najiona sina mvuto wa sura na nimepata wa kuivumilia lazima nijitume[emoji38]
Hio ndo haitakiwiSasa wengine sura ngumu na tabia ngumu pia hehehe
Muda si mrefu naanzisha uzi kwa ajili yako mtoto wa baba angu mwenyeweHahahahahahahahaha eti nakupenda sana yna2
Hahahahahahahahaha Uzi wa kunikaribisha jf?Muda si mrefu naanzisha uzi kwa ajili yako mtoto wa baba angu mwenyewe
Hahaha achana tu na hizi special genes, mbele hapajulikani nyuma hapajulikani; yani kama kambaleIla maliwatoni pako vizuri bila shaka, TuKuYu Beibe!
Kama ule alioandikiwa yna2 ila huu nitaunogesha zaidiHahahahahahahahaha Uzi wa kunikaribisha jf?
Aisee we deserve to be treated better jamani. Don't take us for granted ooooohha ha mie nipo humu kufurahia comment za wahuni tu! Ila kiukweli hio ni Waziii demu mwenye sura jau huwa hathubutu kukuudhi maana unakuwa kama umemsitiri flani baada ya ukame wa mda mrefu so maswala ya ujuaji na cheating inakuwa hamna! Sometimes unaombwa msamaha hata kwa makosa alioyatenda yeye!
Awe na adabu na sisi jamaniOoooh naomba usiwatanie mama zangu
Unaijua sura ngumu kweli Jackline BahathMimi najikubali na sura yng nzito km futari ya magimbi,bila shaka nitakuwa nimefanana na baba angu
Wewe Vp kwaniKumbe
We toto laini laini..Umefwata nn huku?We Aggy Mungu anakuona ujue...mtaani hatuitwi na hapa unataka tukose hata like kweli?
Na wewe una sura ngumu??Awe na adabu na sisi jamani
Hahahahahahahaha wanaume wa jf siwaweziKama ule alioandikiwa yna2 ila huu nitaunogesha zaidi
Mimi sijawahi honga bali nahongwaWewe Vp kwani
Ni kweli mwanamke asiokuwa na tako anakuwa na adabu sana! Huwa mnajisemaga wenyewe halafu very inferior but siamini kama mkwe una motorola bapa!Kwa kutupa tu moyo hamjambo, hebu semeni ukweli bwana msitupake mafuta kwa mgongo wa chupa.
Ingekuwa hivyo vipodozi vingekosa soko mkuu, we unadhani wachaga waliojazana msimbazi pale wapo kimazingara?Hakuna mbaya duniani
Wote tu wazuri..
Ila binadamu ndo wameleta hayo