Wanawake wenye sura nzito/ngumu tukutane hapa

Wanawake wenye sura nzito/ngumu tukutane hapa

Sasa hapa ndio tunapeana moyo na "every woman is beautifull" na "uzuri upo machoni pa mtu" au?[emoji134][emoji134][emoji134]
Mkwe wangu we ni mashaallah, rangi ya mtume sura nyororo bila shaka!
 
ha ha mie nipo humu kufurahia comment za wahuni tu! Ila kiukweli hio ni Waziii demu mwenye sura jau huwa hathubutu kukuudhi maana unakuwa kama umemsitiri flani baada ya ukame wa mda mrefu so maswala ya ujuaji na cheating inakuwa hamna! Sometimes unaombwa msamaha hata kwa makosa alioyatenda yeye!
Aisee we deserve to be treated better jamani. Don't take us for granted oooooh
 
Kwa kutupa tu moyo hamjambo, hebu semeni ukweli bwana msitupake mafuta kwa mgongo wa chupa.
Ni kweli mwanamke asiokuwa na tako anakuwa na adabu sana! Huwa mnajisemaga wenyewe halafu very inferior but siamini kama mkwe una motorola bapa!
 
Back
Top Bottom