Jackline Bahath
JF-Expert Member
- Feb 14, 2016
- 681
- 627
Ooooh naomba usiwatanie mama zanguWanyakyusya na sura zenu[emoji3][emoji3][emoji3]
Aisee ha ha haaa nakushtaki wakutoe
Hahahaha
Uzi wa wadada wenye ,sura pasonoo,sura praiveti ,yaani vimtu tu ,vimtu vya pekee
Wewe Sali sana, utapata wa kufanana nawe!Haha.. Je mimi sura ngumu na tako sina nafanyaje?
Hehehe there is someone for everyone
Hahahah anaitaji um boost kwa sifa za hapa na pale! Kuna ladha flani demu akiwa inferior ha ha!Nyie ndio wife material sasa. Ninammoja huyo sema huw hajiamin coz muonekano wangu ananiona kama niko level za juu zaid yake. Basi kajaa hofu muda wote
Hahah usichoelewa ni kuwa simba akikosa swala kuna time hutafuna nyasi pia! Elewaaa,Hahah nnacho ikubali JF ni kwamba sie ma Men wote hapa tutajifanya tunawakubali kichiz hawa wenye sura za baba
ha ha mie nipo humu kufurahia comment za wahuni tu! Ila kiukweli hio ni Waziii demu mwenye sura jau huwa hathubutu kukuudhi maana unakuwa kama umemsitiri flani baada ya ukame wa mda mrefu so maswala ya ujuaji na cheating inakuwa hamna! Sometimes unaombwa msamaha hata kwa makosa alioyatenda yeye!Nnachowapendea wanawake sura ngumu ni utulivu wao tu. Hawana makuu kwa sababu soko lao lipo chini
Hahahaa we kibokoSura nzito
Huko nyuma flatscreen
Mweusi tii
Mfupi kama nyundo
Macho mekundu kama damu
Meno makubwa ka ya punda.
Sauti mbaya Balaa.
Nikicheka utadhani nakomesha wasikilizaji. Huhu
Hahahahaha! Hawana ujanja na mara nyingi ni wahongaji wazuri sana.ha ha mie nipo humu kufurahia comment za wahuni tu! Ila kiukweli hio ni Waziii demu mwenye sura jau huwa hathubutu kukuudhi maana unakuwa kama umemsitiri flani baada ya ukame wa mda mrefu so maswala ya ujuaji na cheating inakuwa hamna! Sometimes unaombwa msamaha hata kwa makosa alioyatenda yeye!
Kama hapo kwenye avatar yakoDah..bila .hata kapicha kamoja? Wengine hatujui sura ngumu ikoje...[emoji41]
Karibüuhodi hodii
Asee pole sanaMimi najikubali na sura yng nzito km futari ya magimbi,bila shaka nitakuwa nimefanana na baba angu
Ni kweli aiseee..wajiamini kwa walivonavyoMungu hakunyimi vyote
Mala nyingi Wanawake wenye sura zisizo vutia kwa wengi huwa na vitu vingine vingi Sana kuwashinda Hao wenye sura zenye mvuto wanao sadikika kuwa ndio wazur
Mwisho hakuna mwanamke Mwenye sura mbaya ila wanazidiana mvuto tuu
ha haChangamoto tunazo kutana nazo ni kukimbiwa na Kuja kuanzishiwa Nyuzi/Mada JamiiForums 😢😢😢😢
Ila maliwatoni pako vizuri bila shaka, TuKuYu Beibe!Hahha kama uji wa mtama
Hahahahahahahahaha eti nakupenda sana yna2[emoji3][emoji3]
Niliona..angejua sio Mimi huyo hata asingethubutu
Kwamba hawatapata mume au? Tatizo la demu akiwa na sura mbaya na gubu ndio kupata mume ni shughuli na hata akipata hawadumu cc komando Jide!Endeleeni kuwapa moyo