Wanawake wenye sura nzito/ngumu tukutane hapa

Wanawake wenye sura nzito/ngumu tukutane hapa

Nnachowapendea wanawake sura ngumu ni utulivu wao tu. Hawana makuu kwa sababu soko lao lipo chini
ha ha mie nipo humu kufurahia comment za wahuni tu! Ila kiukweli hio ni Waziii demu mwenye sura jau huwa hathubutu kukuudhi maana unakuwa kama umemsitiri flani baada ya ukame wa mda mrefu so maswala ya ujuaji na cheating inakuwa hamna! Sometimes unaombwa msamaha hata kwa makosa alioyatenda yeye!
 
Hahahahaha! Hawana ujanja na mara nyingi ni wahongaji wazuri sana.
 
Mungu hakunyimi vyote

Mala nyingi Wanawake wenye sura zisizo vutia kwa wengi huwa na vitu vingine vingi Sana kuwashinda Hao wenye sura zenye mvuto wanao sadikika kuwa ndio wazur

Mwisho hakuna mwanamke Mwenye sura mbaya ila wanazidiana mvuto tuu
Ni kweli aiseee..wajiamini kwa walivonavyo
 
Back
Top Bottom