Vhagar
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,550
- 39,949
Hakika mkee yupo hapa ngoja niendelee kusubiri nijichagulie mchumba.Hapa ndio sehemu nitapata mke. Ngoja ni subscribe mapema kabisa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakika mkee yupo hapa ngoja niendelee kusubiri nijichagulie mchumba.Hapa ndio sehemu nitapata mke. Ngoja ni subscribe mapema kabisa.
Ahhaha wewe hapana
Hiyo sio sura ngumu
sura hata mbuzi anayo ....
Hatimae kauzi kakuchagua mke bora kameletwa
Hatimae kauzi kakuchagua mke bora kameletwa
Safiii tu mwanamke unyenyekevu. Kwanza wanaojidaigi warembo wasumbufu sana.Asa sura ngumu halafu bapaaa
Unasemaje?
Huwa naamini kabisa kipimo cha uzuri wa mwanamke sio sura kama dunia ya sasa ilivyozoweshwa.. So kwangu sura tupa kapuni..
Zamani kwenye mashindano ya urembo (ma miss) uzuri ulipimwa kwa kuangalia mguu, ma judgw walijipanga kisha walimbwende wanapita huku wamevalia mavazi mafupi na ma judge wanakagua mguu mzuri.
Ila haya yote ni trends tu za kidunia.. Siku hizi naona kuna shift of trend kwa kasi kutoka kwenye sura kwenda kwenye chura maana mambo ya usodoma yameshika kasi.
Usicheze mbali na uzii huu mkuuHahahaha
Nimekuelewa Mkuu
Ahahahaa haya kaa karibu wakuja
Hakika mkee yupo hapa ngoja niendelee kusubiri nijichagulie mchumba.
OhoooHapa ndio sehemu nitapata mke. Ngoja ni subscribe mapema kabisa.
Leo umeandika kirefu
Kweli umemaanisha
Wala usiwaze mamalai, huwezi kukosa mume. Watu wana tastes tofauti tofauti. Sio kila mwanaume anavutiwa na sura.. Wanaovutiwa na sura na chura mara nyingi ni tamaa tu na huwa hawafiki mbali. Upendo wa kweli ndio deal hata ukiwa na jicho moja.Kweli mkuu...
Ila wenzio wanatukimbia
Hahaha sijui nianze kwa mtoa mada...
Bado nawaza hapa
Usicheze mbali na uzii huu mkuu
Mungu akuongezeage busara zaid kama za mfalme SuleimanHuwa naamini kabisa kipimo cha uzuri wa mwanamke sio sura kama dunia ya sasa ilivyozoweshwa.. So kwangu sura tupa kapuni..
Zamani kwenye mashindano ya urembo (ma miss) uzuri ulipimwa kwa kuangalia mguu, ma judgw walijipanga kisha walimbwende wanapita huku wamevalia mavazi mafupi na ma judge wanakagua mguu mzuri.
Ila haya yote ni trends tu za kidunia.. Siku hizi naona kuna shift of trend kwa kasi kutoka kwenye sura kwenda kwenye chura maana mambo ya usodoma yameshika kasi.
Na afadhali mmekuja.. Nkajua nko peke angu[emoji23][emoji23]Heaven Sent tunaitwa huku mama, au wewe sura yako nyepesi?
Mtoa mada hana guu na mtindi wa kutosha? HahahahaMtoa mada ni bapa.. Subiri wengine wanakuja[emoji23][emoji23]