Wanawake wenye sura nzito/ngumu tukutane hapa

Wanawake wenye sura nzito/ngumu tukutane hapa

Wala usiwaze mamalai, huwezi kukosa mume. Watu wana tastes tofauti tofauti. Sio kila mwanaume anavutiwa na sura.. Wanaovutiwa na sura na chura mara nyingi ni tamaa tu na huwa hawafiki mbali. Upendo wa kweli ndio deal hata ukiwa na jicho moja.
True dat..
Kumbe una busara hivi?
 
Back
Top Bottom