Tafadhali naomba unionge pia na moyo wangu utaponaMimi sijawahi honga bali nahongwa
Na wewe una sura ngumu??
Wa humu na hao wa mtaani ni walewale tu sio maroboti tuna mioyo jamaniHahahahahahahaha wanaume wa jf siwawezi
Jf vioja vingi maana hawajulikani mkuuWa humu na hao wa mtaani ni walewale tu sio maroboti tuna mioyo jamani
Wabaya hawapo ila wapo wanaovutia na tusiokuwa na mvuto piaHakuna mbaya duniani
Wote tu wazuri..
Ila binadamu ndo wameleta hayo
Me huwa sihongi mkuuTafadhali naomba unionge pia na moyo wangu utapona
Halafu mimi nakujua vizuri tu wewe ni mtoto wa baba angu kabisaJf vioja vingi maana hawajulikani mkuu
Teh teh..Ungekuwa mbaya kweli ningeshukuru..Sura ya kinyaki
Neno Kuhonga labda haliko sawa Basi nisaidie hata Buku kadhaa asbhi yangu iende vyemaMe huwa sihongi mkuu
Kumbe wewe ni kaka yangu ee.. Baba yetu anaitwa nani vileHalafu mimi nakujua vizuri tu wewe ni mtoto wa baba angu kabisa
Okay! Basi utakua mremboMimi sijawahi honga bali nahongwa
Buku ya nini mkuu?Neno Kuhonga labda haliko sawa Basi nisaidie hata Buku kadhaa asbhi yangu iende vyema
Ya chai si unajua udugu ni hazina yetuBuku ya nini mkuu?
Eti kwani warembo peke yao ndo huwa wanahongwa mkuu?Okay! Basi utakua mrembo
Wewe kweli tremendous, kama yote yako Ooh Lord Have Mercy!Sura nzito
Huko nyuma flatscreen
Mweusi tii
Mfupi kama nyundo
Macho mekundu kama damu
Meno makubwa ka ya punda.
Sauti mbaya Balaa.
Nikicheka utadhani nakomesha wasikilizaji. Huhu
Sasa na wewe dada angu unasahau vpi jina la baba yetu jamii haitatuelewa ujueKumbe wewe ni kaka yangu ee.. Baba yetu anaitwa nani vile
Basi njoo chukua kaka angu...me sipendi ukose chai asubuhi ujueYa chai si unajua udugu ni hazina yetu
Nawapendaga sana mademu wenye sura ngumu maana hua wamejaaliwa mizigo ya maana . Kwa kweli mi hua siangalii sura kikubwa chura iwepo natafuna mzima mzima