Wanawake wenye sura nzito/ngumu tukutane hapa

Karibuni tuliwazane.. Tujadili changamoto na faida tunazopitia katika maisha ya kawaida, mahusiano nk..
Visa visa na vituko tunavyokumbana navyo etc
Nawasilisha


Aggy sura ngumu.
Nadhani kundi hili ndilo linaloongoza kwa kuolewa na kudumu kwenye ndoa...
 
Sisi hatu
angalii
sura
tuna
angalia
wazamini
tu
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Mkwe ndio umekuja kutuumiza zaidi jamani!! Hebu humu tupe moyo tu. Huko kwingine hata mkitupiga sio mbaya.
Ingekuwa hivyo vipodozi vingekosa soko mkuu, we unadhani wachaga waliojazana msimbazi pale wapo kimazingara?
 

wacha we!
 
Unavyoona wazee wako wanaweza nipiga mahari ya sh ngap?

Ndio naanda wazee wakuja kwenu kutoa posa mke wangu mtarajiwa hahahaha
on top of tht wanawake wenye sura ngumu mara nyingi sana wana pesa[emoji4][emoji4]!try us[emoji4][emoji4][emoji109]!tunahustle mbaya maana hakuna wa kutuwowa[emoji4]
 
Mungu anakuona ujue!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…