Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
Kwahiyo wenye sura mbaya ni mapanga
😂panga butu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo wenye sura mbaya ni mapanga
Jikubali jiaminMimi najikubali na sura yng nzito km futari ya magimbi,bila shaka nitakuwa nimefanana na baba angu
Nimezipenda gafla..Huwezi kuwa na sura nzito ww..Lipusi ni zangu mkuu
Basi endelea hivyo hivyo na mi nizidi kuzitafuna Posa zao..Haha watakuwa wamedata na "temporary unyenyekevu" wangu, ngoja niingie ndani nioneshe ubabe
Naweza tu kuwa na sura ngumu ee maana ngumu na nzito n tofautiNimezipenda gafla..Huwezi kuwa na sura nzito ww..
Nadhani kundi hili ndilo linaloongoza kwa kuolewa na kudumu kwenye ndoa...Karibuni tuliwazane.. Tujadili changamoto na faida tunazopitia katika maisha ya kawaida, mahusiano nk..
Visa visa na vituko tunavyokumbana navyo etc
Nawasilisha
Aggy sura ngumu.
Kote uko haupo..Halafu zimefanana kama za ZariNaweza tu kuwa na sura ngumu ee maana ngumu na nzito n tofauti
HahahahaaKwahiyo wenye sura mbaya ni mapanga
wazamini ndo nn mkuu😂😂Sisi hatu
angalii
sura
tuna
angalia
wazamini
tu
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Ni kweli mwanamke asiokuwa na tako anakuwa na adabu sana! Huwa mnajisemaga wenyewe halafu very inferior but siamini kama mkwe una motorola bapa!
Ingekuwa hivyo vipodozi vingekosa soko mkuu, we unadhani wachaga waliojazana msimbazi pale wapo kimazingara?
Mkwe acha kabisa, pasi kwelikweli
Ngoja nijitahidi kuwa na adabu labda nikabahatisha.
wazamini ndo nn mkuu[emoji23][emoji23]
Shida ya mademu wabaya wakiwa kwenye mahusiano wanakuganda kama mtego wa chuma, wanakua na wivu mwingi halafu wanakua wanakupeleleza yani mtu ulikua unazugia tu kupunguza maganzi siku mwambie nakuacha nataka nioe mtoto mkali. Eeh unaweza chezea vitasa + na matusi
on top of tht wanawake wenye sura ngumu mara nyingi sana wana pesa[emoji4][emoji4]!try us[emoji4][emoji4][emoji109]!tunahustle mbaya maana hakuna wa kutuwowa[emoji4]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Shida ya mademu wabaya wakiwa kwenye mahusiano wanakuganda kama mtego wa chuma, wanakua na wivu mwingi halafu wanakua wanakupeleleza yani mtu ulikua unazugia tu kupunguza maganzi siku mwambie nakuacha nataka nioe mtoto mkali. Eeh unaweza chezea vitasa + na matusi
Hizo lips ni zako..Nataka nitoe maksi