Wanawake wenye sura nzito/ngumu tukutane hapa

Hahahahahahahaha me nimekuja kwa huu Uzi kufurahi halafu na wewe twende kwenye huo Uzi ukaseme unafanana na nani maana me nilishasema na Mkuu behaviorist akaniwekea kapicha wadau wakaona
Hahahaha

Kuna Uzi una sema wewe huwa unafananishwa na binti mmoja hivi murembo ,kuwa mmefanana hadi macho ,na ktk ule Uzi kulikua na picha ya huyo binti

Ila hapa unasema tofauti
 
Hahaha

Ndio maana nikasema humu kuna watu/wadada wanachora wenzao tu

Ule Uzi siwezi sema nafanana na nani ,halafu umenipotea Uzi wenyewe
Hahahahahahahaha me nimekuja kwa huu Uzi kufurahi halafu na wewe twende kwenye huo Uzi ukaseme unafanana na nani maana me nilishasema na Mkuu behaviorist akaniwekea kapicha wadau wakaona
 
Hahaha

Ndio maana nikasema humu kuna watu/wadada wanachora wenzao tu

Ule Uzi siwezi sema nafanana na nani ,halafu umenipotea Uzi wenyewe
Mimi sijaja kuchora wenzangu bhana usinigombanishe na wadada wenzangu Hahahahahahahaha.. Halafu me mwenyewe Uzi siupati tena sijui kuna nn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…