Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahah kitu ya maabara!Me ni special case
Mtani wangu, wewe hapa unafanya nini, kwani sura yako ni ngumu?Hahahahahahahaha .me sijui kama n nzito au laini mkuu
Mtoto wa Kisafwa huyo, yuko vizuri! But we utakuwa njema zaidiiMmh hiii imenizidi kwa urembo Hahahahahahahaha
HahahahaKumbe kote simo ngoja wadau waje wa-confirm Hahahahahahahaha
Hahahah uko vizuri basiHahahaha.huyu pacha angu kbs,copy and paste
Yaani mbingu na ardhiKwanini mkwe, haisadifu yaliyomo kweli?
Ngojea na mie nijipe off tuendelee humu humu tutajua jinsi ya kujitetea baadaeKaka angu Leo me Niko off nimeamkia humu na nitashinda humu...ila kwa sababu kuna family matter ya kudiscuss ngoja nikuje
Hahahaha
Kuna Uzi una sema wewe huwa unafananishwa na binti mmoja hivi murembo ,kuwa mmefanana hadi macho ,na ktk ule Uzi kulikua na picha ya huyo binti
Ila hapa unasema tofauti
Hahahah mkwe we unapendeka lakini, wala usihofu muhimu tabia njema tu!
Unanishawishi kuja mahala salama mkwe! Siamini adi nione
Ngojea na mie nijipe off tuendelee humu humu tutajua jinsi ya kujitetea baadae
Hahahahahahahaha me nimekuja kwa huu Uzi kufurahi halafu na wewe twende kwenye huo Uzi ukaseme unafanana na nani maana me nilishasema na Mkuu behaviorist akaniwekea kapicha wadau wakaona
Mbona umenikimbia mrembo, mi hizo ndo type nazotaka ujue! Hamna foleni hapo hata nikienda UK kimasomo nakuta kitu Sildi!
Mtoto wa Kisafwa huyo, yuko vizuri! But we utakuwa njema zaidii
Mimi sijijui, ila hii hapa ndio picha yangu kwa hiyo wanajf mtajaji kama ni ngumu au lainiSijui NAHUJA na wewe una sura ngumu... duh!
Mbona umenikimbia mrembo, mi hizo ndo type nazotaka ujue! Hamna foleni hapo hata nikienda UK kimasomo nakuta kitu Sildi!
Mimi sijaja kuchora wenzangu bhana usinigombanishe na wadada wenzangu Hahahahahahahaha.. Halafu me mwenyewe Uzi siupati tena sijui kuna nnHahaha
Ndio maana nikasema humu kuna watu/wadada wanachora wenzao tu
Ule Uzi siwezi sema nafanana na nani ,halafu umenipotea Uzi wenyewe
DahMimi sijijui, ila hii hapa ndio picha yangu kwa hiyo wanajf mtajaji kama ni ngumu au laini
View attachment 951226
Huyu n murembo sana mbonaMimi sijijui, ila hii hapa ndio picha yangu kwa hiyo wanajf mtajaji kama ni ngumu au laini
View attachment 951226