Wanawake wenye sura nzito/ngumu tukutane hapa

Hahahaha, asee
 
Sasa huoni wanavyofaidi, ndoa zenyewe majanga tu. Mie nawekwa ndani alafu anafaidi mwingineeee!!
Taabu iko pale pale.
Majanga kama utashinda na mwanaume ukijirudi majanga hakuna muhimu ujue kumvutia mume kwa maneno na matendo yenye mvuto utainjoy ndoa.

Kumbuka tu mwanaume hapangiwi muda wa kurudi la kuomba arudi salama ukimnunia attazidisha muda hivyo ni juu yako kubomoa au kutengeneza ndoa yako.

TUMEPEWA MAMLAKA TUHESHIMIWE.
 
Hawachezewi unawataka nenda kwao kabisa hawana muda na mapenzi na walisha nyimwa
 
Ila tuwapongeze sana hawa wanawake wa sampuli hizi, maana ndiyo wanaongoza kutunza familia zao bila migogoro, kwanza ni wapambanaji sana na wanjua kubembeleza sana, na wengi wao 90% wanaolewa
Ahsante ya dhati [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…