Mtoto wa Baba
JF-Expert Member
- Sep 1, 2018
- 3,123
- 4,023
Eti ee basi tukae tu humu tufanye yetuMie naona kwa leo tuhairishe kikao cha familia itabidi watuelewe tu tumetingwa na mambo ya dunia kwa sasa
Fungua Uzi kaka ake kulikeKuwepo kwa uzi kunanipa sana ushawishi wa Sisi ambao ni wanaume wenye sura mbaya kujiamini na kuona kuna kila sababu ya kuungana na kuandaa forum yetu
Hahahahahahahaha me mgumu tupia kapicha mgumu mwenzanguHahahaha
Eti mgumu ,mie siwezi kutupia picha yoyote
Hahahaha, picha yoyote situmi ya kujifananisha ,sawa mgumuHahahahahahahaha me mgumu tupia kapicha mgumu mwenzangu
.[emoji3][emoji3]Hahahahahahahahaha eti nakupenda sana yna2
HiyoMuweke na hizo sura ngumu zenyu tusione basi, maana isije kuwa sura zenyewe ni nyanya tu ,
Hahahahahahahaahahh.[emoji3][emoji3]
Nimefanana na babu yangu yani copy na right kabisaa
Me nataka kapicha ka kufanana mkuu...au hadi tuende kwenye ule Uzi?
Huyu Mimi kabisaView attachment 951087
iko kama hii?
Mbona huyu n mwanaume na wewe yna2 n mwanamke? Me nataka hiyo ya babu yako
Kuna wanawake wenye sura nzuri tu nawajua ila nawaona hapa...nawaambia acheni unafki kuwapoteza wenzenu wenye sura mbovu hahaha
Wewe unafanya nin kweny huu uzi shemeji? Hahaha[emoji3][emoji3][emoji3]
Waambie hao waache kutuchora wenzao
Angekua handsome si ningevimba mkuu...urithi wa sura nyingine sio poaHahahahahahahaahahh
Ila babu yako ni hendisamu yna2
Huyo mwanamke ila kafanana na babu yake kama nilivyofanan nae mimiMbona huyu n mwanaume na wewe yna2 n mwanamke? Me nataka hiyo ya babu yako
Nimekuja kuchangia mada ya kutoa changamoto tunazokumbana nazo sisi wenye sura mbaya/nzito kama futari ya magimbiWewe unafanya nin kweny huu uzi shemeji? Hahaha
hahahah acha kuzinguaHuyu Mimi kabisa
Kweli kabisa..mkuuhahahah acha kuzingua
Dah...eti Babyface [emoji41]Waulize.. U hb uko wapi