princemikazo
JF-Expert Member
- Jan 10, 2019
- 2,195
- 2,056
Hahahaha, kumbe Valentina ni muremboDah..noo...Valentina ana sura soft[emoji41]
Hahaha ni kweli huwa si fake japo kuna wajinga wa mtandaoni watasema hapa najikosha ili wadada niwateke akili. Sio kweli japo najua watakuja tu
Walikuja?Dah huu uzi upo? Miaka miwili bado sijapata mke.
Ila mnasifika kuwa na nani hii nzuri, yenye misuli na mashavu swadakta kabisa, sisi ndiyo twajuwa utamu wenu...😎😛Karibuni tuliwazane.. Tujadili changamoto na faida tunazopitia katika maisha ya kawaida, mahusiano nk..
Visa visa na vituko tunavyokumbana navyo etc
Nawasilisha
Aggy sura ngumu.
Dah huu uzi upo? Miaka miwili bado sijapata mke.
Hahaha dah 😂😂
Hahaha dah [emoji23][emoji23]
Unataka mke mwenye sura nzito?Dah huu uzi upo? Miaka miwili bado sijapata mke.
Unajua kipindi hicho tunauza chai watu walikuwa hawajashtukiaga kama wakati huu.
Ndio kwasababu tukichagua sana nao watakosa wakuwaoa.
Aaah wapi wewe hauwezi kuwa hivo maana wao ekana laini kama margarine
Na ndio maana title ikatuita tujifariji wenyeweeKama hamna chura nyie ni vilema mnajifariji tu hapa