Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Hahahaha MkuuHahaha sijui nianze kwa mtoa mada...
Bado nawaza hapa
Hahahaha Mkuu
Hutaki kuvuta subra kdg?
True dat..Wala usiwaze mamalai, huwezi kukosa mume. Watu wana tastes tofauti tofauti. Sio kila mwanaume anavutiwa na sura.. Wanaovutiwa na sura na chura mara nyingi ni tamaa tu na huwa hawafiki mbali. Upendo wa kweli ndio deal hata ukiwa na jicho moja.
Hahaha ni kweli huwa si fake japo kuna wajinga wa mtandaoni watasema hapa najikosha ili wadada niwateke akili. Sio kweli japo najua watakuja tuLeo umeandika kirefu
Kweli umemaanisha
Tuliwazaneeee
Hahahaha Mkuu ,kumbuka mpira pasi lknAaaah hamchelewi kukaba nyie...ukipata kaupenyo unaweka cross kama la ajib unamaliza mchezo
Na wewe una sura ngumu? Maana natafuta mke mwenye hiyo sura 😂Ohooo
Kweli mkuu...
Ila wenzio wanatukimbia
[emoji23][emoji23][emoji23]hilo sio la kuulizaNa wewe una sura ngumu? Maana natafuta mke mwenye hiyo sura [emoji23]
Safiii tu mwanamke unyenyekevu. Kwanza wanaojidaigi warembo wasumbufu sana.
Kidogo tu nilirithishwa na babuTrue dat..
Kumbe una busara hivi?
Cocochanel
Kweli shogaa[emoji23][emoji23]..ila sis ndo tuna akili ujueKaribu tuliwazanee shoga[emoji23]
😂 kwahiyo nitume maombi au?[emoji23][emoji23][emoji23]hilo sio la kuuliza
Utakua uliniangalia kwa hofu!
Hahaaa tatizo me dadako[emoji23] kwahiyo nitume maombi au?
Hata darasani wadada wenye akili asilimia kubwa wanakuwaga na sura personal hahaa (sio wote lakini)Kweli shogaa[emoji23][emoji23]..ila sis ndo tuna akili ujue
Alafu tunanyenyekea maana tunajijua tulivyo
Kujioffend kujijua kuwa una sura ngumu?Mbona wanawake mnapenda kujioffend wenyewe sana??