Wanawake wenye sura nzito/ngumu tukutane hapa

Wanawake wenye sura nzito/ngumu tukutane hapa

Unavyoona wazee wako wanaweza nipiga mahari ya sh ngap?

Ndio naanda wazee wakuja kwenu kutoa posa mke wangu mtarajiwa hahahaha

labda nipige na nauli ya kwenda na kurudi.. wee njoo na 32000!na chenji itabaki... i mean humo humo nauli (to n fro)na kula njian na mahari
 
Mkwe hilo neno la kizungu zito jamani, yaani ni kama umeng'ata na kupulizia.
We love you uglies don't get it twisted, hatujawatenga and the good thing is you got the sweetest pusiz in the entire planet!
 
Mweeeeeh!! Kwahiyo kuolewa tusahau!!! Mbona wametutia moyo kuwa wabaya ndio tunaolewa!!!
on top of tht wanawake wenye sura ngumu mara nyingi sana wana pesa[emoji4][emoji4]!try us[emoji4][emoji4][emoji109]!tunahustle mbaya maana hakuna wa kutuwowa[emoji4]
 
[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Kwahiyo wakati anajipanga kuipata sumu basi anajipoozea kwetu!!
Kwakweli tuna changamoto.
[emoji23][emoji23]wafatilie humu kuna mmjoa kasema wanapitaga kwetu kujipoza ila kuoa wanaoa sumu
 
Mshenga sio ya kucheka haya ujue, huu msiba mzito.
Hivi bebi wetu umemuona wapi? Akinikuta kwenye huu uzi sijui kama pesa atatuma 😄tena[emoji134][emoji134][emoji134]


😂😂hawez uona huu uzi mie mwenyew nimeuona muda si mref sipitah sana huki..acja asiuone aisee..😃..ila ww mbn haupo seriojs jaman..nacjoka mm jaman
 
Sasa mshenga unataka niwe serious kivipi tena!!!
[emoji23][emoji23]hawez uona huu uzi mie mwenyew nimeuona muda si mref sipitah sana huki..acja asiuone aisee..[emoji2]..ila ww mbn haupo seriojs jaman..nacjoka mm jaman
 
Back
Top Bottom