Nini hiyo haikamatiki?Na kumbuka wakiwa na vitambi tayari mzigo haukamatiki tena
Kitunguu mkuuNini hiyo haikamatiki?
Boss una wanawake wangapi? Maana unataka wanawake wote tutoe vitambi kwanini.wengi wenu mnavitambi usikute hata wewe apo unalikitambi kheee fanyeni mazoezi hatuna ela za kuchezea et surgery
Kuwa na standards ni kutuambia wanawake wote tutoe vitambi? Tutoe vitambi kwaajili ya nani? ili iweje? Kwanini?Kuwa na standards sio kosa. Wanawake mna taste yenu ya wanaume mnaovutiwa nao, hakuna kosa lolote ikiwa hivyo kwa mwanaume pia kuwa na standards
Suala la kila mtu kujiona standards zake ndio sahihi zaidi ilo ni la kawaida. Kwaiyo mpuuze mtoa mada wewe jiachie na kitambi chako.Kuwa na standards ni kutuambia wanawake wote tutoe vitambi? Tutoe vitambi kwaajili ya nani? ili iweje? Kwanini?
Listen, Kuwa na standards ni kusema kuwa mwanamke ukiwa na kitambi siwezi kuwa na wewe. End of the story..
Y’all acting like sisi wenye vitambi tunawataka, hapana na sisi hatuwataki tuna watu wetu.
🤣🤣🤣🤣
Hata wanawake wanapaswa kusema sitaki mwanaume asiye na hela sio kusema wanaume tafuteni hela 😀 Watafute hela ili iweje? Kwaajili ya nani?Suala la kila mtu kujiona standards zake ndio sahihi zaidi ilo ni la kawaida. Kwaiyo mpuuze mtoa mada wewe jiachie na kitambi chako.
Ni kama sisi wanaume tunavyodhalilishwa tusipokua na hela. Hatuwezi kuiba kwaiyo hatuna budi kufanya kazi tu kuondokana na umasikini.
Hata hao wanawake wanaotoaga hizo dhihaka in most cases wengi hatuwataki, tumerudhika na wake zetu ambao tumejenga nao from scratch.
Nimelia sana! ðŸ˜Lazima kuna Mwanamke mmoja amesoma huu uzi kisha akaangalia tumbo lake ili kupata uhakika kama hii mada na yeye inamuhusu?
Kuna enye na vitampi vyetru hatufanyi mazoezi na hamna chakutufanya!
Ukimuona mwanamke anakitambi jua huyo hajielewi, huwa hanivutii kwa lolote.Mwanamke kitambi kikubwa mnakera kuwatizama ila hamjui tu.
Huna kitambi una sponge...Kuna enye na vitampi vyetru hatufanyi mazoezi na hamna chakutufanya!
Mtuwache
Unajua Kitambi ni kikwazo cha Kifo cha Mende hasa kama umezoea mzee na mama wanafanya yao na ndimi (kiss) zinaendelea kufaidiana. Mungu mwema Lamomy wangu, hana hiyo shida. Ila kitambi kwa me na ke ni mgogoro isiokuwa na mwamuzi.Hujakosea lakini hata kikiwepo shida iko wapi? 😹
Urefu na ufupi ni majaaliwa ya Mungu ila kitambi ni juhudi binafsi.Nimelia sana! ðŸ˜
Demu wake siyo jasusi BICHWA KOMWE -, kweli!Demu wa Busu la Kenge sura kama avatar yako kitambi kama pipa
Mbona yeye anasema wewe ndo yeye.Siwezi kuwa na ID za kiboya
Bila shaka!Urefu na ufupi ni majaaliwa ya Mungu ila kitambi ni juhudi binafsi.
Paragraph ya mwisho babyKuwa na standards ni kutuambia wanawake wote tutoe vitambi? Tutoe vitambi kwaajili ya nani? ili iweje? Kwanini?
Listen, Kuwa na standards ni kusema kuwa mwanamke ukiwa na kitambi siwezi kuwa na wewe. End of the story..
Y’all acting like sisi wenye vitambi tunawataka, hapana na sisi hatuwataki tuna watu wetu.
🤣🤣🤣🤣