Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 46,410
- 114,823
Watasema una kibamia
Kafie mbele huko ! Wa pale riverside ni mama zako?Hizi kauli zingine msiwe mnatoa mada halafu mkawa mnatoa lugha za ovyo wewe ni mwanaume umezaliwa nahuyo mwanamke je huyo Hana kitambi?
Umeoa mwanamke hakua na hicho kitambi umemzalisha akapata kitambi bado mnakuja kutoa maneno ya dhihaka
Wanaume kama unatoa mada inayomdhihaki mwanamke kumbuka huyo mwanamke ndiye aliyekuzaa
Kafie mbele huko ! Wa pale riverside ni mama zako?
🥰🥰🥰Paragraph ya mwisho baby
🥰🥰🥰🥰
Sasa wenye vitambi wasijibebishe mkuu. Ndo moja ya sifa yao hata kma wanavitambi, wavumiliwe tu maana wanaume mara nyingi ndo watibua shape za matumbo ya wanawake.Afu unakuta eti mnadeka kama sio ujinga ni nini mtu unalikitambi afu unajibibesha kama zezeta tu , toa likitambi uwe portable kheee
Mkuu kwanini usitafute mwenyewe hizo pesa ukajifanyia hayo mahihitaji maana huo ni mwili wako wewe mwanamke tajiri na siyo wa huyo mwanaume masikini ulieamua kuwa nae akatibua shape ya tumbo😁😁Kama kuna kuzaliwa tena sitaki kuja ku cross pass na wanaume masikini mimi,wana masharti 100 pesa hawana.
Unadhani kucontrol mwili after 30 mchezo? Mpe mwanamke wako lishe sahihi mazoezi, usimstress na bila kusahau huduma za afya za uhakika, maana mvurugiko wa hormones nao unaleta vitambi.
Ukishindwa kabisa mpeleke turkey akafanye surgery sio kubweka bweka kama mbweha!
Subiri moto wa wenye vitambi sasa🔥Mwanamke kitambi kikubwa mnakera kuwatizama ila hamjui tu.
Hakuna mwanaume anaependa mkewe awe na kitambi utazani ujauzito kumbe kitambi , kama ndo hivi vitambi vyenu wacha tuchepuke tu.
Shape namba 9 aweee mtabaki kuwa single maza tu
Mimi sijaleta malalamiko humu.Mkuu kwanini usitafute mwenyewe hizo pesa ukajifanyia hayo mahihitaji maana huo ni mwili wako wewe mwanamke tajiri na siyo wa huyo mwanaume masikini ulieamua kuwa nae akatibua shape ya tumbo😁😁
Me and you again!🤣 Namkumbuka madam wangu aitwae Bude from kusini are you you!Who a yu.?? A you you???
Sponge yake mwachie mwenyeweHuna kitambi una sponge...
Halafu vyembamba vina bonde la ufa kule down, lile tulisoma kwenye Jografia.Hao watu n watamu yan unampelekesha anaanza kupumua kama spika mbovu. Mim naomba wanawake wote wawe na vitambi lakin hawa 2GB unasugua mtu mkimaliza anaendelea na samasoti kitandani
Kitambi ni sifa mbaya kwa mwanamme. Kadri tumbo likiwa kubwa na chini kunapungua, kadri tumbo likiwa kubwa na kuchoka wakati wa kufanyana matusi pia inakuwa faster. Na wanaume matambi yenu yanakuwaga mabaya, utakuta kijitu chembamba ila kitambi hikoooo km kafutika ngomaHujui kitambi ni sifa kwa mwanaume
WapiKitambi ni sifa mbaya kwa mwanamme. Kadri tumbo likiwa kubwa na chini kunapungua, kadri tumbo likiwa kubwa na kuchoka wakati wa kufanyana matusi pia inakuwa faster. Na wanaume matambi yenu yanakuwaga mabaya, utakuta kijitu chembamba ila kitambi hikoooo km kafutika ngoma