Wanawake wenye vitambi mnanikera sana

we tyta unanijua unanisikia?

Ntaku-mogadishu sasa hivi?

Hivi unaijua hali ya somalia ilivyo?
unajua kitambi-is a more advanced state of 6 pack..so its a compliment not an insult
 
vitambi vyao vya kuhongwa ni sawa na vya rushwa haviwezi kuisha!
sasa kama hadi chakula ananunuliwa na anachagua anachokitaka utadhani tirafiki anayechagua apewe rushwa kiasi gani, atoke hapo saloon na vipodozi anunuliwe,kila mahali ni gari tu akishindwa kabisa bajaji, kodi ya nyumba alipiwe na hela ya kusaidia ndugu jamaa na marafiki apewe, kwanini wasinenepe kama noah?
 
unajua kitambi-is a more advanced state of 6 pack..so its a compliment not an insult

hapana!! i dont want to hear anything about obesity (ona sasa hadi nimeongea kikurya!!)

mi huwa napendeza namna hii!



lakini sio katika mfumo wa kuwa na kitambi!
 
Kumbe ni wa box 2.. Mwaka gani?! Nadeclare interest naomba nisichangie huu uzi.

kumbe kuna wa box 2 humu jamani hadi raha!...nilikuwa nawapasha hawa tamsala na matambi yao kama kina mama wa pale ulokoni box 2 wanaokula ukoko wa jikoni!!...we mwaka gani ulipita pale? Mimi ni product ya mr.nyamvi na duwe b.b.
 
nAMPENDA Evelyn Salt KWA MOYO WANGU WOTE NA NI MKE WANGU HALALI

napita... nasubiri jibu!
Evelyn Salt kwa mara ya kwanza ame..:A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2: na lusungo!!




amewezajeeeee????:noidea::noidea::noidea::noidea::noidea::noidea::noidea::noidea::noidea::noidea:

haya bana mi niko :heh::heh::heh::heh::heh::heh::heh::heh::heh::heh::heh:

nasubiri πŸ˜›hoto:πŸ˜›hoto:πŸ˜›hoto:πŸ˜›hoto:πŸ˜›hoto:πŸ˜›hoto:πŸ˜›hoto:πŸ˜›hoto: ya pamoja!!
 
Last edited by a moderator:
nafikiri badala ya kumshambulia mleta thread tuichukulie hii kama changamoto,wake kwa waume tujitahidi ku-control body weight zetu kwa kuangalia chakula tunachokula na kufanya mazoezi....vitambi si afya kwa wanaume na wanawake

cc: Karucee
Ooooh yes. Tuichukulie kama challenge.

Mfano mie Karucee niachane na Safari Lager nihamie Gin and Tonic.

Au sio? Lols.
 
Last edited by a moderator:
wampenda saaana excel kwa mioyo yako na mikono na miguu na kila kitu chako..!

Nakupenda uokoke umrudie bwanako Yesu kwa kutakataka wake za watu shauri yako mie yupo laaziz wangu wala sina shida na ntu mie,inaonyesha hujampiga siku nyingi mkeo eeee maana nyie kina tata mura hamkawii kuzaba screen ya smu
Halafu usinigombanishe na evelyn bana ntake radhii
 
Vitambi vyao vinakukera vipi wewe, au walishawahi kuja kukuomba chakula cha kuvi-mentain? Kama wako hana kitambi ridhika naye, tuachie wenyewe hizo ndiyo zetu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…