Tyta
JF-Expert Member
- May 21, 2011
- 12,767
- 10,528
unajua kitambi-is a more advanced state of 6 pack..so its a compliment not an insultwe tyta unanijua unanisikia?
Ntaku-mogadishu sasa hivi?
Hivi unaijua hali ya somalia ilivyo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unajua kitambi-is a more advanced state of 6 pack..so its a compliment not an insultwe tyta unanijua unanisikia?
Ntaku-mogadishu sasa hivi?
Hivi unaijua hali ya somalia ilivyo?
vitambi vyao vya kuhongwa ni sawa na vya rushwa haviwezi kuisha!Yaani madada ya siku hizi sijui yakoje!...yanakeraaaa!!..hadi kichechefu!!..
Unakuta dada mzuri ajabu!..shepu shepu, nyuma ana kifurushi cha haja mweh!!...kuja mbele sasa..chevuuuu!!!..mtumbo huo!...uzuri wote chalii!
Tatizo siku hizi mumezidi kuwa waroho!!..mnakula sana kuliko hata midume!..machips mayai, manyama choma, ma bia, ma baga, sijui manini yote yenu! Sasa kwa staili hiyo kwanini msitoke vitambi!
Yaani unakuta mwanaume na mwanamke wanapita hata hujui me ni nani na ke ni nani!..kwani mki maintain shape kuna ubaya gani!..
We huoni watoto kama jokate mwegelo wanavyo pendeza hadi raha!!...sio kama shilole hadi anaogopesha na ule mtumbo!!...au mfano mzuri mdada Lara1 ni bonge la mtoto!..yupo flat sehem za flat na ameumuka sehemu zinazohitajika!
Ni ushauri tu wadada!
dr.holygrail
acha hizo bana.. wake wadogo siku hizi wana advantage kubwa sana...
come here dina..! close your eyes... hug me!
unajua kitambi-is a more advanced state of 6 pack..so its a compliment not an insult
Weeeee hata kwa tindikali haiwezekani
Ni ubhuhene weito!! Taya umubhuri Evelyn Salt
mkuu kwani mi niko na huyu honey wako?
mbona waniingiza kwenye vishawishi...!
nilikuuliza useme wazi wazi kama wampenda Evelyn Salt, ukagoma kusema!
najua hata hapa hautasema!!
mkuu kwani mi niko na huyu honey wako?
mbona waniingiza kwenye vishawishi...!
nilikuuliza useme wazi wazi kama wampenda Evelyn Salt, ukagoma kusema!
najua hata hapa hautasema!!
nAMPENDA Evelyn Salt KWA MOYO WANGU WOTE NA NI MKE WANGU HALALI
Kumbe ni wa box 2.. Mwaka gani?! Nadeclare interest naomba nisichangie huu uzi.
nAMPENDA Evelyn Salt KWA MOYO WANGU WOTE NA NI MKE WANGU HALALI
Ooooh yes. Tuichukulie kama challenge.nafikiri badala ya kumshambulia mleta thread tuichukulie hii kama changamoto,wake kwa waume tujitahidi ku-control body weight zetu kwa kuangalia chakula tunachokula na kufanya mazoezi....vitambi si afya kwa wanaume na wanawake
cc: Karucee
wampenda saaana excel kwa mioyo yako na mikono na miguu na kila kitu chako..!
Dah! Unataka ugomvi na wachaga sasa