Wanawake wenye vitambi mnanikera sana

naomba update. What happened to this guy pretending to be a preacher?
Mkuu Karucee ingia kwenye "jukwaa la wazee" tafuta post, "Wanyonya kabaang mikono juuuu..."

Huyu mwenzetu aliingia kule kwa gia ya kutoa maandiko matakatifu akitishia watu kiama. Lakini baada ya wadau kumbana kwa maswali, iweje mchungaji unaingia jujkwaa hilo wakati hutaki maudhui yake, taratibu akaanza kubadilika na kufuata upepo wa jukwaa linavyotaka.

Mwisho wa yote ndiyo huyu sasa unayemsoma hapa juu anafunguka maneno makali kama ya"kumlamba msamba evelyn salt", mara "anataka kumla mtu jicho".

Huyo ndiye anayeiita mchungaji.
 

hahahaaaaaa Mchungaji huyo halafu katuambia tusubirie part two ya ushuhuda lol

habari my king
 
ha ha ha ha

ila jamani sumbawanga sijawai muona zaidi ya kule khaa
Mchungaji inaonesha wewe ni muumini mzuri wa jukwaaa la wakubwa? Waandamizi wote wa humo unawafahamu au siyo
 
What the hell?? I really hate hypocrites. Alivyokuwa amenikalua kooni sasa. Ohhh uzinzi uzinzi. ------.

Thanks for info mkuu.
 
What the hell?? I really hate hypocrites. Alivyokuwa amenikalua kooni sasa. Ohhh uzinzi uzinzi. ------.

Thanks for info mkuu.
Mkuu asikusumbue huyo hana lolote. Uzuri ni kwamba wadau wa JF wana kumbukumbu, yeye alifikiri alichosema kule huku hakitajulikana.

Another biggest Hypocrite
!
 

Hapo hakuna mchungaji, kwenye thread ya uteuzi wa mgombea ubunge kwa ticket ya CHADEMA Kalenga ameahidi kutoa tiGO kama CHADEMA watashinda.
 
Hapo hakuna mchungaji, kwenye thread ya uteuzi wa mgombea ubunge kwa ticket ya CHADEMA Kalenga ameahidi kutoa tiGO kama CHADEMA watashinda.

hivi huyu pastor kawafanya nini jamani!....
 

Hak sawa vitambi vitambi kwa wote .......! Kama namna gani hupendi ............sepa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…