Wanawake wenye vitambi mnanikera sana

Yanakukera kwani unayabeba wewe? Basi uwe unafumba macho
 
Kama huwezi kuwatofautisha shepu zao basi ni wazi wanaume wa sikuhizi wana mahips na mawowowo kama kina dada

Washauri na kina kaka pia wajipunguze mana sio vizuri wawe na shepu hizo ulizozisema
 
Reactions: nao

Wanawake wengine wana shepu za kiume unakuta mdada hana hips,flat screen ila kitambi kama ana kiribatumbo
 
Hahahahahaha you can't be serious lol
Nimecheka sana
 
Umeandika tu kwa kejeli,ila point zipo. Eat clean,stay in shape.
 
Yaweza kuwa mkombozi wako kama una moyo wa dhati kufanikiwa
Click hii link hapa chini
Job4Living.com Earn 5$-10$ per 30 seconds tasks, Earn 1000$ monthly - Online Job for jobless people
 
Sijasoma content lakini heading tu inatosha kukupa pole, kama una mwanamke na siku moja unategemea aje kukupa watoto, the is 90% chance tumbo lake litabadilika na kuwa kubwa!

Sorry we ni mwanamke au mwanaume? Kwasababu ulichokiongea hakina ukweli wowote ule!
 
Jamani mazoezi, tule mboga mboga na matunda, punguzeni mafuta, pombe na soda, vyakula viwe vya kiasili, hii itasaidia kuepuka hayo pamoja na magonjwa ya siku hizi
 
Ni observations tu, asilimia kubwa ya wanawake waliozaa huwa na matumbo makubwa kuliko walivyokuwa kabla. Hata mimi sipendi mwanamke wangu awe na tumbo lakini ukweli ni kwamba kuna situations ambazo inabidi tu uwe mpole
 
Mi nimezaa na nina tumbo flat kabisa, sasa ukiniambia kuwa na tumbo kubwa ni sababu ya kuzaa nitakataa kabisa.
 
Ni observations tu, asilimia kubwa ya wanawake waliozaa huwa na matumbo makubwa kuliko walivyokuwa kabla. Hata mimi sipendi mwanamke wangu awe na tumbo lakini ukweli ni kwamba kuna situations ambazo inabidi tu uwe mpole

Mchawi ni uzembe tu bro...... Wanawake wetu wa kibongo wanajibweteka na kula sana tu..... Hata kama akizaa akifanya mazoezi hawezi kuwa na mtumbo....... Hifi umewaona wamama black americans.....?????? Mama akitembea na mwanae wakiume kama yupo na mumewe.... Yupo Flat wala hana manyama ya kumzeesha upesi tena wengiwao ninaozungumzia ni masikini wenzetu tu.......
 
Jamani mazoezi, tule mboga mboga na matunda, punguzeni mafuta, pombe na soda, vyakula viwe vya kiasili, hii itasaidia kuepuka hayo pamoja na magonjwa ya siku hizi
Waambie hao. Maana me nilisemaga kitambo nikaambulio ban ya mwaka
 
Kweli kabsa
 
Wengine inakuaga ni ugonjwa mfano fibroids c kupenda kwao labda ungewaadvice healthy eating na kuavoid vyakula venye calories mob
 
maumbile sawa,ILA ULAJI WETU NAO MMMH!
una haki mwaya!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…