BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,767
- 23,198
nashangaa anataka tumbo flat wakati halina matumizi
nimecheka sana kwani anachomeka kwenye tumbo eti
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nimecheka sana kwani anachomeka kwenye tumbo eti
Wanaume bwana!!!
Kila kibaya cha mwanamke. Hivi kitambi kimewahi kua kizuri hata kwa Mwanaume?
yaani kama unakereka kama wanaume wenye vitambi, minyamanyama kama wana mimba wanavyonikera pole sana
Wakiambiwa wanakuwa wakali sana. Ila muwe mwajiangalia kwenye kioo, mwaonekana wa ajabu wakikususpend juu chini mtu atashindwa elewa nyuma ni wapi mbele wapi maana kiunoni mbele na nyuma pamevimba tena wengine mbele pamevimba zaidi
Dah umeua
Ila vitambi vyenu na nyie boyz sometimes duh! Mpk mnashindwa kuifikia vizuri ile naniliuuu
Nini tumeshindwa kuifikia vizuri? Kama ni kamba ya kiatu, tutavaa hata flip flops.
Bora hata ingekuwa kamba mkuu...its another thing begin with letter k
Kisigino?
Ah! Kumbe hicho tu. Kikiwasha, nitajisugua hata kwenye tairi ya gari.Ndio mkuu...kisigino