Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 28,259
- 41,416
harafu ndio anasubili matokeo ya form 4 nahicho ndicho alichojibia mtihani sasa.
harafu **halafu** anasubilia ** anasubiria*** vipi ungekua wewe ungepata division ngapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
harafu ndio anasubili matokeo ya form 4 nahicho ndicho alichojibia mtihani sasa.
ndio inanihusu dadangu ....mzima lakini wewe shostito?
nimeona kama hujakaa kiume...pole lakini
Halafu nimemisi sala na picha ya motoni....
ha ha ha
Dada yangu upoooo?
nikiiona tu hiyo pua mi burdaan umeamkaje?
Salama salimin namshukuru Allah hebu niitie #Demba hapa na wewe uje pia na #ngalihikija sijui nimelipatia jina gumu mpaka nimejiuma aaaaaarggggghhhhh
kwahiyo?
ha ha ha ha
basi Dada imetosha kwa Leo hilo povu utaniota bureee
b.t.w I love you
mwaaaaaaah
ha ha ha haa
yaani dear nipe nafasi tena tuzae mtoto kama huyo
namjua lusungo bana! atajikakamua!
hahahaaa... ila sipati picha hicho kigugumizi cha hapo!
oh.. enh.. mh.. you know.. iam five years old!!
Huwezi kumpata wa hivo tena huyo anafanana na dingi ake
kuanzia maza mpaka sisteri zangu wote hawana hiyo mitambi!...ni ma supa viwangozz u know!!...hakuna Le vitambiz u knw!