Wanawake wenye vitambi mnanikera sana

Wanawake wenye vitambi mnanikera sana

Na hebu nambie, umejuaje kama ye ni mwanaume?

babu habari za asubuhi kwanza, how fine are you?

hiki kijana kinajisema eti ni kianaume! may be you inspect it for further clarification!

babu eenh.. hivi mango g na J.lee bado ni wake zako ama huna nguvu tena..? teh...!!:lol::lol::lol::lol:
 
Last edited by a moderator:
Huyu anakuja kutafuta umaarufu JF tu, hana lolote

babu habari za asubuhi kwanza, how fine are you?

hiki kijana kinajisema eti ni kianaume! may be you inspect it for further clarification!

babu eenh.. hivi mango g na J.lee bado ni wake zako ama huna nguvu tena..? teh...!!:lol::lol::lol::lol:
 
Last edited by a moderator:
ooow! i didnt think this.. but ur all women, right?

you are welcomed mamii!

I am, not sure about the other one. Lakini kwa hesabu za haraka haraka naona ni dada, kama ni vinginevyo, nina imani ataniwia radhi.
 
it was not extreme...

kaka katika maisha ya mashindano watu hutoa kauli ambazo si kawaida kutokea katika maisha ya mwanadamu ili kukuza uzito wa jambo...

Mfano watu wengi husema wako tayari kufa endapo swala fulani litatokea ili kutetea kile wanachoamini....

Kutoa kwangu kauli ile ilikuwa ni kuelezea namna gani ilivyongumu kupata ushindi...

Ni sawa na mtu kusema nipo tayari kunya kutoka DSM mpaka CHALINZE endapo jambo fulani litatokea

its matter of expressing feelings that we have

umeona sasa vichwa maji walivyoipokea? mbona kule hawakushangaa sana kama huku?

Tunatofautiana sana....

hivi ikitokea kweli cdm wakachukua jimbo uko tayari kuchuma mboga mr lusungo!? i mean can you keep your word mr pastori?? just curious
 
Last edited by a moderator:
I am, not sure about the other one. Lakini kwa hesabu za haraka haraka naona ni dada, kama ni vinginevyo, nina imani ataniwia radhi.

ok dina!!

welcome to the show!!

this is excel.. he never relax!!
 
Nipo tu, tulimaliza migomo ya maduka, jana tukawa na mgomo wa daladala, basi maisha yanendelea tu pande hizi

actually, niko safi tu ram..!

wewe tu ndo unapotea potea!
 
Last edited by a moderator:
my friend, wengine hawajipendei, yanakuja baada ya kuzaa halafu wanashindwa kuyacontrol, sijajua umri wako ila iyo kitu ninasikia ni ngumu kuikwepa kama mama anazalishwa mara kwa mara, pamoja na kwamba kuna miili mingine imebarikiwa kutokuwa na tumbo ila kwa waliowengi hawapendi ila yanakuja pamoja na kujitahidi kuyazuia. chukulia mfano mama amejifungua kwa operation, hawezi kufanya mazoezi na hata kufunga mkanda anaweza kushindwa asije kufumua mshono hivyo analiacha tu tumbo linakuwa kubwa kwa miezi ile sita hatakiwi kulivuruga, ndio inatokea hivyo. hivyo usiongee kama mtoto mdogo wakati mwingine, tuwaheshimu hawa mama na dada zetu, wana mizigo mingi sana ambayo sisi wababa tusingeweza kuibeba kabisa kama tungekuwa wao.
 
  • Thanks
Reactions: ram
Bora umwambie na wewe labda atakuelewa, naona anapayukapayuka tu hapa jamvini
Eti anamlinganisha Jokate na Shilole, shilole ni mama yule tena wa watoto wawili wakati jokate tumbo halijawahi kubeba mzigo

my friend, wengine hawajipendei, yanakuja baada ya kuzaa halafu wanashindwa kuyacontrol, sijajua umri wako ila iyo kitu ninasikia ni ngumu kuikwepa kama mama anazalishwa mara kwa mara, pamoja na kwamba kuna miili mingine imebarikiwa kutokuwa na tumbo ila kwa waliowengi hawapendi ila yanakuja pamoja na kujitahidi kuyazuia. chukulia mfano mama amejifungua kwa operation, hawezi kufanya mazoezi na hata kufunga mkanda anaweza kushindwa asije kufumua mshono hivyo analiacha tu tumbo linakuwa kubwa kwa miezi ile sita hatakiwi kulivuruga, ndio inatokea hivyo. hivyo usiongee kama mtoto mdogo wakati mwingine, tuwaheshimu hawa mama na dada zetu, wana mizigo mingi sana ambayo sisi wababa tusingeweza kuibeba kabisa kama tungekuwa wao.
 
angalau mamii? labda uniambie ukoje kiundani (kwa pm lakini ennh! humu majanga!) ili nifanye final tachi tutafute kitu kingine!

Ishia hapo hapo budaa... Jawilat. .. endelea tu kuchat bae for interest lakini ukumbuke mipaka...
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom