Leejay49
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 16,388
- 51,970
- Thread starter
- #241
Hongera sana aisee kama huumwi, maana unaweza utamke maneno yotee na yasisaidie kituPoleni sana mnaoumwa sana… kuna miezi siumwagi hata chuchu, ila kisirani inayokuwa hapo. Shetty alaumiwe
Mefanamic ni painkiller bora kwa wakati huo.. ila binafsi siipendi, kidonge chake ni kikubwa sana.