Hongera sana aisee kama huumwi, maana unaweza utamke maneno yotee na yasisaidie kituPoleni sana mnaoumwa sana… kuna miezi siumwagi hata chuchu, ila kisirani inayokuwa hapo. Shetty alaumiwe
Mefanamic ni painkiller bora kwa wakati huo.. ila binafsi siipendi, kidonge chake ni kikubwa sana.
ChangoNaomba unifafanulie bibi, chango ndo kitu gani 🤔🤔
Kwa hiyo kudindisha sio heshima??Jiheshimu
R.I.P na kwako pia!!R.I.P Magufuli.
YaanHongera sana aisee kama huumwi, maana unaweza utamke maneno yotee na yasisaidie kitu
Ulisema mapema nikuje ku pick up ..Nasubiri mda wa kutoka niende hospitali my friend...
Unaonaje wivu? Una mtoto/watoto?Hua nawaonea wivu ambao hamuumwi jamani
inaonekana hata kitoto cha kike cha miaka mitano kikikatisha mbele yako unadindisha.
nyinyi ndio wabakaji wenyewe.
huna akili.
Mimi najua shangaziWacheni uasherati na uzinzi.
Wazee wetu walikuwa wanasema "chango" hilo. Binti gani humu anafahamu "chango" ni nini?
Kaa chini upige hesabu 🤣🤣Hongera dada, mie kwanza sijawahi kuelewa tarehe maana naona zinanivuruga tu, hazieleweki
Hesabu[emoji16][emoji16],Kaa chini upige hesabu [emoji1787][emoji1787]
Unataka kumfanya mwenzio awe sugu… dokta mwenye akili timamu ni nadra sana kukuta ana recommend hii dawa.Predinisolone tabs.
Mimi nataka apone.Usugu hautakiwi.Unataka kumfanya mwenzio awe sugu… dokta mwenye akili timamu ni nadra sana kukuta ana recommend hii dawa.